pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Sasa kwenye mpira kosa kosa si kawaida we ulitaka wasishambuliwe kwani wao hawajakosa magoli tena wao wamekosa mengi kuliko ureno unabahatisha kaa na chuki zake na Morocco anabeba ndoo jiandae kisaikolojia kwenye mpira hakuna neno bahatiAcha kupayuka ukiongozwa na dini wewe dogo. Morocco ni timu nzuri ila wanatembea kwenye bahati kubwa sana. Wamekoswa mno leo na lile ni jambo hatarishi. Sijui ni how long their luck will hold.