Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
😥😥😥[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😥😥😥[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji264][emoji264][emoji264][emoji264]Acha kupayuka ukiongozwa na dini wewe dogo. Morocco ni timu nzuri ila wanatembea kwenye bahati kubwa sana. Wamekoswa mno leo na lile ni jambo hatarishi. Sijui ni how long their luck will hold.
Kwenye uzi huuMbona mkuu nilishaanzisha thread kitambo kuhusu Morocco upo jukwaa hili hili mimi sio shabiki maandazi.
Angalia comment muda wake na muda wa game.Naona kijana umekuja kuropoka baada ya mechi kuisha.
Morocco bingwa, wachawi acheni kuunga mkono ushoga, njooni tushangilie chama la wana.
Morocco wana bahati the same na ilivyokuwa kwa Brazil. Ila uwezo wanao na huwezi sema wanatembea kwa bahati kila mechi. Na mtu yeyote aliyetazama mechi yao na Portugal hawezi sema wamekoswakoswa sana, wote shots on target wanazo 3. Stats zinawabeba Portugal ila defense ya Morocco ni nzuri na rekodi ya kuruhusu goli moja tu kombe hiliKijana huwa naheshimu michango yako kuhusu ndege ila kwenye mpira usiwe mwepesi kuongea na wazoefu kama sisi. Narudia tena Morocco ni timu nzuri ila inatembea kwenye bahati ambayo sijui wataipata mpaka lini.
Swala ya Isha walisali na mizigo hawakupaki... Morocco mpaka siku ya mwisho ya kombe la duniaNdugu zangu kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mara baada ya adhana jioni ya leo majira ya saa mbili kasorobo tutakuwa tunatoka uwanjani na tukimaliza kuswali ndege itakuwa inaondoka.
Tunawatakia safari njema na tutakuja marakesh kutalii hivi karibuni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Samwaleko
Niitakie Morocco mvua za mapema tu arudi alikotoka nyodo zimezidi. Ninasimama na France.
Morocco anatoka !! Ureno ni wajanja sana Tena anaweza kupigwa goli nyingi ndani ya dk 90.
😥😥😥dua la kuku