Mashabiki wa Morocco ninaamini mmeshamaliza kupakia mizigo yenu, ndege inaondoka baada ya swala ya Isha

Mashabiki wa Morocco ninaamini mmeshamaliza kupakia mizigo yenu, ndege inaondoka baada ya swala ya Isha

Acha kupayuka ukiongozwa na dini wewe dogo. Morocco ni timu nzuri ila wanatembea kwenye bahati kubwa sana. Wamekoswa mno leo na lile ni jambo hatarishi. Sijui ni how long their luck will hold.
[emoji264][emoji264][emoji264][emoji264]
20221204_211651.jpg
 
We ni wale wanaojua wachezaji kupitia betting ila mpira hamuangalii mnaangalia nani kachana mkeka yaani hapo unamachungu ulimuua Morocco halafu kachana mkeka.
Huwa sibeti kabisa. Mimi naongea kitaalam kwa kuangalia mpira kiufundi.
 
Lakini uchawi wako haujafua dafu, na hapo ulipo unaona haibu utadhani umejinyea vile...
Nacheka sana, wanafki hii timu itawauweni, wallah.
Wewe una mihemko ya kidini. Mpira una utaalamu wake na ndio ninaouongelea hapa.
 
Kijana huwa naheshimu michango yako kuhusu ndege ila kwenye mpira usiwe mwepesi kuongea na wazoefu kama sisi. Narudia tena Morocco ni timu nzuri ila inatembea kwenye bahati ambayo sijui wataipata mpaka lini.
Morocco wana bahati the same na ilivyokuwa kwa Brazil. Ila uwezo wanao na huwezi sema wanatembea kwa bahati kila mechi. Na mtu yeyote aliyetazama mechi yao na Portugal hawezi sema wamekoswakoswa sana, wote shots on target wanazo 3. Stats zinawabeba Portugal ila defense ya Morocco ni nzuri na rekodi ya kuruhusu goli moja tu kombe hili
 
Ndugu zangu kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mara baada ya adhana jioni ya leo majira ya saa mbili kasorobo tutakuwa tunatoka uwanjani na tukimaliza kuswali ndege itakuwa inaondoka.

Tunawatakia safari njema na tutakuja marakesh kutalii hivi karibuni.
Swala ya Isha walisali na mizigo hawakupaki... Morocco mpaka siku ya mwisho ya kombe la dunia
 
Huna tofauti na haji manara [emoji23][emoji23][emoji23] pole
 
Back
Top Bottom