Mashabiki wa Morocco ninaamini mmeshamaliza kupakia mizigo yenu, ndege inaondoka baada ya swala ya Isha

Mashabiki wa Morocco ninaamini mmeshamaliza kupakia mizigo yenu, ndege inaondoka baada ya swala ya Isha

Naona ureno wamebebeshwa jimsalaba lao kwenye meli kurudi nyumbani, mpira hauna adabu,
Haya hamieni ufaransa sasa na udini wenu huo
 
Yule jamaa anakosa sana magoli hata kwenye mechi na Spain alikosa nafasi za wazi. Ila lango la Morocco limekuwa kwenye presha kubwa tangu mwanzo wa mchezo mpaka mwisho.

Leo wameweza ku-hold lakini kwa staili ile sijui kama wataweza kufanikiwa kwa kucheza chini ya mashambulizi na presha kubwa vile.
Uliniita mpumbavu, nikatulia kimya sababu huwa sipendi lugha ya matusi kwenye kujibu hoja. Ila mpaka hapa umeshajiona umetawaliwa na ushabiki. Kila mtu anakushangaa wewe. Na mwisho wa siku umetulia kama maji mtungini. Jifunze kuzuia hisia za kishabiki.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Ila waafrika dini zimetufanya kuwa wapumbavu sasa hapo dini imeingiaje mkuu?
Kama ni dini hata hizo timu za ulaya mnazo shabikia kama Uingereza na Ufaransa zimejaa wachezaji wa kiislam.
Sisi ngozi nyeusi ni wapumbavu sana
Huyu bwege nazi tu, achana nae
 
Uliniita mpumbavu, nikatulia kimya sababu huwa sipendi lugha ya matusi kwenye kujibu hoja. Ila mpaka hapa umeshajiona umetawaliwa na ushabiki. Kila mtu anakushangaa wewe. Na mwisho wa siku umetulia kama maji mtungini. Jifunze kuzuia hisia za kishabiki.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Mimi naangalia mpira wowote na kuandika kitaalamu. Angalia hapa niliwasifia mabwana zako:

Safari hii historia inakwenda kuandikwa kwa kombe la Dunia kubaki kwa mabingwa watetezi yaani Mafaransa [emoji14]

Pambazuko liko karibu sana.

Asomaye na afahamu.

Record inakwenda kuwekwa.
 
Mashabiki wa Morocco nadhani leo mtakuwa mmeelewa nilichokuwa nawaambia. Mfumo wa kukaa nyuma muda wote haufai hasa mpinzani wako akipata goli la mapema.

Niliwaeleza mlikutana na timu zenye pasi na sio kasi. Mlicheza na timu zisizoweza kufanya pressing za maana. Wakati mwingine muwe mnasikiliza wazoefu tunapoongea.
 
Ndugu zangu kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mara baada ya adhana jioni ya leo majira ya saa mbili kasorobo tutakuwa tunatoka uwanjani na tukimaliza kuswali ndege itakuwa inaondoka.

Tunawatakia safari njema na tutakuja marakesh kutalii hivi karibuni.
Msenge kweli wewe, hujui Kuna mechi ya mshindi wa tatu?
 
Back
Top Bottom