Hv brazil watakua washaondoka?Tunawasaidia wakubaliane na hali halisi.
Tupe mrejeshoNdugu zangu kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mara baada ya adhana jioni ya leo majira ya saa mbili kasorobo tutakuwa tunatoka uwanjani na tukimaliza kuswali ndege itakuwa inaondoka.
Tunawatakia safari njema na tutakuja marakesh kutalii hivi karibuni.
Yaani unaonekana hata mechi za Morocco huangalii ww ungekuwa unaangalia usinge andika utopolo huu team iliyoruhusu goal moja tu kwenye world cup huo ujasiri sijui mnautoa wapi yaani mkiona team ina messi Ronaldo au neymar basi mnaamini itashinda kama hao wengine ni viwete vile.Ndugu zangu kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mara baada ya adhana jioni ya leo majira ya saa mbili kasorobo tutakuwa tunatoka uwanjani na tukimaliza kuswali ndege itakuwa inaondoka.
Tunawatakia safari njema na tutakuja marakesh kutalii hivi karibuni.
Kupitia huu uzi nimeamini wengi hawaangalii mpira tecnical and tactical ingekuwa wanaangali mechi za Morocco wasingeandika utopo huo kuhusu Morocco.Tupe mrejesho
Acha kupayuka ukiongozwa na dini wewe dogo. Morocco ni timu nzuri ila wanatembea kwenye bahati kubwa sana. Wamekoswa mno leo na lile ni jambo hatarishi. Sijui ni how long their luck will hold.Yaani unaonekana hata mechi za Morocco huangalii ww ungekuwa unaangalia usinge andika utopolo huu team iliyoruhusu goal moja tu kwenye world cup huo ujasiri sijui mnautoa wapi yaani mkiona team ina messi Ronaldo au neymar basi mnaamini itashinda kama hao wengine ni viwete vile.
Waliokoswa sana ni Ureno na wala sio Morocco. Labda kama haujaangalia mpiraAcha kupayuka ukiongozwa na dini wewe dogo. Morocco ni timu nzuri ila wanatembea kwenye bahati kubwa sana. Wamekoswa mno leo na lile ni jambo hatarishi. Sijui ni how long their luck will hold.