Mashabiki wa mpira Tanzania ni masikini sana

Juice world

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
1,982
Reaction score
2,706
Huwa nakaa najiuliza hivi unapataje muda wa kushabikia mpira halafu unakua lofa na masikini, aisee nyie mashabiki wa mpira Tanzania tafuteni hela mnanuka njaa sana na mnaleta usumbufu kwa matajiri kama sisi barabarani mkipita na vi Costa vyenu na hivyo vivuvuzela.

Yaani mnaonesha kabisa njaa imewatawala masikini nyie tafuteni hela.
 
Hakuna tajiri anayejisifia kuwa ni tajiri au ana pesa, ila masikini ndio huwa ndio watu wa show off ili waonekane wana hela. Kifupi mleta uzi ni masikini wa kutupwa anayetamani awe tajiri.
 
Mpira ni sehemu ya starehe. Sasa wewe tajiri starehe zetu zinakuhusu nini?
 
Halafu na wewe upunguze sasa kubweka bweka humu jukwaani kama mbwa koko.
 
Chizi kazini
 
Dada ndo umeandika nn Sasa?
 
Acheni ku comment kwenye izi nyuzi zake za kipuuzi tuone ata anedele kuleta izi nyuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…