Mashabiki wa mpira Tanzania ni masikini sana

👍
 
Hivi kwako unajua maana ya hata neno masikini ? Huenda wewe ambae hauna kitu / hobbie ya kukufanya uwe na furaha kama mshabiki wa mpira ndio utakuwa masikini..., Kama unaona furaha yako lazima utumie pesa kuipata hio sio furaha ambayo ni sustainable unless utafutaji wa pesa ndio furaha yako

To each his/her own...
 
Hivi kwako unajua maana ya hata neno masikini ? Huenda wewe ambae hauna kitu / hobbie ya kukufanya uwe na furaha kama mshabiki wa mpira ndio utakuwa masikini..., Kama unaona furaha yako lazima utumie pesa kuipata hio sio furaha
Elimu,elimu,elimu...tatizo ni drs la 7, hivyo vichenji maiti vinamtia wazimu...elimu ni nzuri sana
 
Hapa nadhani hujamuelewa Matola, ukadhani anakusema wewe, kumbe anamsema mleta uzi. Kwa ufupi mleta uzi amewafarakanisha wapinzani wake
Wewe unaona ni mtu wa kujibizana nae huyo?
 
Mimi kama nabii mwenye uwezo wa kuona mbali naziona siku zako za kuishi sio nyingi hufiki mwanka 2025 utakua umekufa Cha kukushauli hizo Mali ulizonazo anza kugawa ulithi kama unawatoto nimemaliza. NB usipuuze maneno yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…