GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama ulikuwa unawaza nahodha wa Simba, Mohamed Hussein 'Tshabalala' anaweza akatundiga daruga hivi karibuni, basi sikia majibu yake.
Tshabalala amejibu swali aliloulizwa na Mwananchi kutokana na kucheza kwa kiwango bora ndani ya misimu 10 katika kikosi cha Simba hawazi kustaafu?
Na haya ndiyo majibu yake: "Sina wazo kabisa la kustaafu kwa sasa. Kikubwa nina nguvu ya kuisaidia timu, basi ninaweza nikacheza miaka mingi, labda itokee nimepata changamoto ya kuniweka nje."
Tshabalala amesema kinachomfanya asishuke kiwango ni kuzingatia mazoezi, kujituma, usikivu na kuyafanyia kazi yale ambayo anaelekezwa na makocha, lakini kubwa zaidi ni kwamba halewi sifa.
Chanzo Taarifa: mwananchi_official
Tshabalala nimjuaye Mimi akiwa na akina Gallas, Dodo Edward na Mkude hata siyo Mzee kama tunavyomdhania. Hivi ni kwanini Mchezaji akiwa hakai Mkeka (Benchi) hasa kwa hivi Vilabu Vikubwa vya Simba na Yanga basi huwa tunakuwa wepesi sana kusema kuwa ni Wazee na Wastaafu Mpira / Soka / Ndiki / Fabo / Mbutuka?