Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Mkuu naona mikia kidogo inakupa raha maana kule cdm mdee kawapiga spana za maana š¤£hii ndio maana halisi ya Utopolo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naona mikia kidogo inakupa raha maana kule cdm mdee kawapiga spana za maana š¤£hii ndio maana halisi ya Utopolo
. Kwanza naomba uelewe ushabiki Ni aina ya chuki iliyojificha 2 na daima itabaki kuwa hivo hamna shabiki yoyote ambaye ataishabikia timu pinzani elewa hivo manara wenu amefanya kizuri Sana kwahiyo wewe jichagulie mwenyewe itakuwa wewe hujui mpiraMkuu kwenye ukweli tuwe wakweli. Mimi ni shabiki wa simba lakini aina ya ushabiki wa Manala siupendi kabisa. Ushabiki wa Manara unaleta uhasama kati ya mashabik wa Simba na Yanga.
Ni zaidi ya miaka 80 hizi timu zipo lakini kwa miaka hiyo yote hatukuwa na uhasama wa aina hii. Tulikuwa na utani lkn siyo uhasama. Ilikuwa timu ya nje ya nchi inakuja na ikitokea ikaishinda yanga wana simba tumekuwa tukiishangilia humo humo uanjani. Lakini nje ya uanja hatukuwa tukionyesha ushabiki.
Lakini kwa sasa ushabiki unaanzia nje ya uanja. Na chanzo cha yote haya ni Manala. Namuomba manala afanye ushabiki wa utani kama tulivyozoea kwa miaka yote lkn aache ushabiki wa kashifa. Vinginevyo akae pembeni asitujengee uhasama kwa wananchi wa nchi moja.
Kweli kabisa.. Manala ndo chanzo cha hii kitu.. Binafsi siwezi kuisapot Simba hata ikawa inacheza hapa home kutokana na huu usenge Wa Manara, Alafu nimesikia anasema shabiki was Yanga tusiingie uwanjani.. Duuuuh tako la Dada yako hilo Manara, unajua wapi nimetoa hyo hela,, kwanza ni lini hz habari zimeanza..Mkuu kwenye ukweli tuwe wakweli. Mimi ni shabiki wa simba lakini aina ya ushabiki wa Manala siupendi kabisa. Ushabiki wa Manara unaleta uhasama kati ya mashabik wa Simba na Yanga.
Ni zaidi ya miaka 80 hizi timu zipo lakini kwa miaka hiyo yote hatukuwa na uhasama wa aina hii. Tulikuwa na utani lkn siyo uhasama. Ilikuwa timu ya nje ya nchi inakuja na ikitokea ikaishinda yanga wana simba tumekuwa tukiishangilia humo humo uanjani. Lakini nje ya uanja hatukuwa tukionyesha ushabiki.
Lakini kwa sasa ushabiki unaanzia nje ya uanja. Na chanzo cha yote haya ni Manala. Namuomba manala afanye ushabiki wa utani kama tulivyozoea kwa miaka yote lkn aache ushabiki wa kashifa. Vinginevyo akae pembeni asitujengee uhasama kwa wananchi wa nchi moja.
Yaani SimbaNimapenzi makubwa sanaa yalipo kwenye mioyo na mashabiki wakereketwa wa club yetu ya wananchi kutoka nigeria...hakika meza itapinduliwa kibabe sanaa jumamosi
Daima mbele nyuma mwikoo
View attachment 1640364
Sawa hela ni yako, ila usiende sehem isiyo kuhusu. Wewe subir mapinduz cup champions league!ššKweli kabisa.. Manala ndo chanzo cha hii kitu.. Binafsi siwezi kuisapot Simba hata ikawa inacheza hapa home kutokana na huu usenge Wa Manara, Alafu nimesikia anasema shabiki was Yanga tusiingie uwanjani.. Duuuuh tako la Dada yako hilo Manara, unajua wapi nimetoa hyo hela,, kwanza ni lini hz habari zimeanza..
Naona ni mda mwafaka was kupigani huyu kichaa aondoke pale
Lazima ziwepo tiketi za timu pinzani...ndiyo utaratibu wa soka duniani kote...Yanga tiketi mtapata wapi?
Ile kauli ya cha mlevi huliwa na mgema ndio hii sasa. Think economicallyTujitahidi tarehe 5/12/2020 tujitokeze kwa wingi kuwasapoti na kuwatia moyo wanaplateau ili ipate ushindi wa kishondo dhidi ya timu ya Simba.
Tunawapiga magoli na after game mtachezea mangumi km mnavyofanyaga nyie kwa wenzenu. Nyooni kwa winfii dadadeq zenuNimapenzi makubwa sanaa yalipo kwenye mioyo na mashabiki wakereketwa wa club yetu ya wananchi kutoka nigeria...hakika meza itapinduliwa kibabe sanaa jumamosi
Daima mbele nyuma mwikoo
View attachment 1640364
Tutawafunga then tutawanyonya matiti hayooo. Mtajuta kutufahamu
Rudisheni zile simu mlizowakwapulia wageni wenu.Nimapenzi makubwa sanaa yalipo kwenye mioyo na mashabiki wakereketwa wa club yetu ya wananchi kutoka nigeria...hakika meza itapinduliwa kibabe sanaa jumamosi
Daima mbele nyuma mwikoo
View attachment 1640364
Mtaalam sana wa fani hiyoDah huyu binti anaonekana anajua kufinyia kwa ndani