Mashabiki wa Plateau tumejitokeza kwa wingi airport kuipokea timu yetu

. Kwanza naomba uelewe ushabiki Ni aina ya chuki iliyojificha 2 na daima itabaki kuwa hivo hamna shabiki yoyote ambaye ataishabikia timu pinzani elewa hivo manara wenu amefanya kizuri Sana kwahiyo wewe jichagulie mwenyewe itakuwa wewe hujui mpira
 
Uyo Haji Manara analeta vitu vipya katika mpira wa Tanzania, Mashabiki wa Simba na Yanga wamekua wakichanganyika kwa miaka mingi kwa wale tuliokua tuna angalia mpira shamba la Bibi. Ukiacha jukwaa kuu kule mzunguko mashabiki walikua waki kaa mchanganyiko tena wanakaa juu ya mabomba ya chuma wote Yanga na Simba na hakukua na vurugu. Mechi zote za kawaida au za Caf mashabiki walikua wanachanganyika.
 
Kweli kabisa.. Manala ndo chanzo cha hii kitu.. Binafsi siwezi kuisapot Simba hata ikawa inacheza hapa home kutokana na huu usenge Wa Manara, Alafu nimesikia anasema shabiki was Yanga tusiingie uwanjani.. Duuuuh tako la Dada yako hilo Manara, unajua wapi nimetoa hyo hela,, kwanza ni lini hz habari zimeanza..
Naona ni mda mwafaka was kupigani huyu kichaa aondoke pale
 
Simba vs Yanga saivi ni zaidi ya paka na panya, koo kila mtu afanye linalomhusu tuu
 
Nimapenzi makubwa sanaa yalipo kwenye mioyo na mashabiki wakereketwa wa club yetu ya wananchi kutoka nigeria...hakika meza itapinduliwa kibabe sanaa jumamosi

Daima mbele nyuma mwikoo

View attachment 1640364
Yaani Simba
hawa jamaa wangewafikishia KIGOMA harafu siku ya Mechi wakawapandisha bus la Saratoga mpaka kwa Mkapa ndo waisome namba.
Ila Any way.
 
Sawa hela ni yako, ila usiende sehem isiyo kuhusu. Wewe subir mapinduz cup champions league!😁😁
 
Kwa miaka hii Minne ya Utawala wa Simba katika Soka la Kimataifa kwa Hakika UTOPOLO mmejaza Jezi za timu nyingi huko Makwenu tuanze na Plateau, UD SONGO, AS VITA, TP Mazembe, Liboroooo, Al Ahly, ZANACO, ZESCO, Mbambane Swallows nk nk. Kwakweli mmmepata tabu sana
 
Siku ya tar 5 kuanzia saa 5-7pm tupo Plateau kwa Mkopo.
 
Nimapenzi makubwa sanaa yalipo kwenye mioyo na mashabiki wakereketwa wa club yetu ya wananchi kutoka nigeria...hakika meza itapinduliwa kibabe sanaa jumamosi

Daima mbele nyuma mwikoo

View attachment 1640364
Tunawapiga magoli na after game mtachezea mangumi km mnavyofanyaga nyie kwa wenzenu. Nyooni kwa winfii dadadeq zenu

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…