Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Yanga afirika fc.[emoji3064][emoji848][emoji2827]Umebaki muda mchache kwa sisi mashabiki wa Rivers United fc kuwakanda vibonde wetu kutoka Tanzania, Yanga afirika fc.
Mashabiki wa Rivers United tukutane hapa mida ya saa 8 mchana kwa hapa Nigeria
Wa Wydad pia tunaweza kutana hapahapa.Umebaki muda mchache kwa sisi mashabiki wa Rivers United fc kuwakanda vibonde wetu kutoka Tanzania, Yanga afirika fc.
Mashabiki wa Rivers United tukutane hapa mida ya saa 8 mchana kwa hapa Nigeria
Simba sisi tushatoka huku hizi mambo tuwaachie utopolo,wale kule wenye akili ni wawili tuu sasa tusishindane naoUmebaki muda mchache kwa sisi mashabiki wa Rivers United fc kuwakanda vibonde wetu kutoka Tanzania, Yanga afirika fc.
Mashabiki wa Rivers United tukutane hapa mida ya saa 8 mchana kwa hapa Nigeria
Hiki kijiwe cha wahuni washakikimbiaUmebaki muda mchache kwa sisi mashabiki wa Rivers United fc kuwakanda vibonde wetu kutoka Tanzania, Yanga Afirika fc.
Mashabiki wa Rivers United tukutane hapa mida ya saa 8 mchana kwa hapa Nigeria
Huwa nakuheshimu ila wewe popoma kwanzia leo wewe popomaYanga afirika fc.[emoji3064][emoji848][emoji2827]