Kwakuwa nyinyi mlishabeba World Cup siyo?Team mess bwana akili hamna. Mwakani ni world cup subirini tuone maajabu yenu
Kwakuwa nyinyi mlishabeba World Cup siyo?
World cup wanabeba hawa....Haya Sasa Messi huyooo kabeba kombe akiwa na timu ya taifa
Mlikua mnamuona Messi si lolote na wala si chochote kwa C.Ronaldo,kwasababu C.Ronaldo alishinda EURO mkawa mnamponda Messi kwakua hajashinda taji lolote akiwa na timu yake ya Taifa
Najua mtataka Messi afanye Kama Ronaldo kuhama Hama ligi [emoji23] huu ni upuuzi nawaambieni hivi MESSI hahitaji kuhamia ligi yoyote ile ili athibitishe uwezo wake.
Sasa sisi team Messi tunawadai ninyi team Ronaldo Balon'Dor ya 6 na tunataka mchezaji wenu aipeleke timu yake ya taifa fainali tu za kombe la dunia.
Daadeki zenu nyinyi.
View attachment 1849190
Huko ni kungineko huyo mreno amawahi toboa ata roboTeam mess bwana akili hamna. Mwakani ni world cup subirini tuone maajabu yenu
Unafananisha Balon'Dor na UEFA CL?
Hiyo Champions League Messi anaichukua next season akiwa na Aguero pale Barcelona.
Mpaka wanafika fainali Ronaldo alikuwa katupia kamba ngapi?Tunaojua Moira
Cr7 anachukua EURO, lakin kazi kubwa ilifanywa na watu wengi
Ata fainal cr7 alikuwa majerui wanaume wapo uwanjani wanakichafua
Messi sitaki kumzungumzia
.Asante.