Mashabiki wa Ronaldo njooni huku

Mashabiki wa Ronaldo njooni huku

siasa ms

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2019
Posts
1,821
Reaction score
3,142
Haya Sasa Messi huyooo kabeba kombe akiwa na timu ya taifa

Mlikua mnamuona Messi si lolote na wala si chochote kwa C.Ronaldo,kwasababu C.Ronaldo alishinda EURO mkawa mnamponda Messi kwakua hajashinda taji lolote akiwa na timu yake ya Taifa

Najua mtataka Messi afanye Kama Ronaldo kuhama Hama ligi [emoji23] huu ni upuuzi nawaambieni hivi MESSI hahitaji kuhamia ligi yoyote ile ili athibitishe uwezo wake.

Sasa sisi team Messi tunawadai ninyi team Ronaldo Balon'Dor ya 6 na tunataka mchezaji wenu aipeleke timu yake ya taifa fainali tu za kombe la dunia.

Daadeki zenu nyinyi.

FB_IMG_1625975707635.jpg
 
Kwakweli huyu jamaa nilikuwa namuombea abebe hii kitu,maana mashabiki wa yule mpuuzi mwenye mpira wa kulazimisha walikuwa wanamnanga Messi kwa kutobeba kombe akiwa na Argentina.

Halafu jamaa kajitahidi sana kuliko huyo Penaldo.Kaifikisha timu fainali 3,ikiwemo ya World Cup (sijui ni lini Ronaldo atavaa medali ya mshindi wa 2 wa WC ?). Kwenye Copa America iliyoisha leo Messi ama kafunga au katoa assist kwenye kila ushindi iliopata Argentina. Yule 'Mr.Misifa' anayaweza haya?
 
Haya Sasa Messi huyooo kabeba kombe akiwa na timu ya taifa

Mlikua mnamuona Messi si lolote na wala si chochote kwa C.Ronaldo,kwasababu C.Ronaldo alishinda EURO mkawa mnamponda Messi kwakua hajashinda taji lolote akiwa na timu yake ya Taifa

Najua mtataka Messi afanye Kama Ronaldo kuhama Hama ligi [emoji23] huu ni upuuzi nawaambieni hivi MESSI hahitaji kuhamia ligi yoyote ile ili athibitishe uwezo wake.

Sasa sisi team Messi tunawadai ninyi team Ronaldo Balon'Dor ya 6 na tunataka mchezaji wenu aipeleke timu yake ya taifa fainali tu za kombe la dunia.

Daadeki zenu nyinyi.

View attachment 1849190
World cup wanabeba hawa....
 
Wanasema Ronaldo anashikilia rekodi ya dunia kuwa na magoli mengi kwa timu ya taifa, wakati kule Ulaya kuna vitimu kama San Marino, Malta, Scotland, Northern Ireland, havijiwezi kila siku vinafungwa 6-0, 7-0,

Kama Messi angekuwa Ulaya angekuwa na magoli 2000 akiwa na timu ya taifa.
 
Back
Top Bottom