Na Messi alikua beki ?Wewe wasema kumbe mnaogopa watu wanaomzunguka daah
Huoni hapo mshambuliaji kiongozi alikua etoo. Bado handsome henry kapozi hapo bonge la vipaji
Na Messi alikua beki ?
Asiye aminiwa na wakati umemuona first 11 hapo [emoji848][emoji848][emoji848]kinda asiyeaminiwa
Na Messi Ahamie Juventus Tuone Kama Atamaliza Top Scorer.Ronaldo ahamie Norwich city alafu tuone kama watabeba kombe
Jambo la kawaida Sana kwa Messi hiloNa Messi Ahamie Juventus Tuone Kama Atamaliza Top Scorer.
Asiye aminiwa na wakati umemuona first 11 hapo [emoji848][emoji848][emoji848]
Nani alikisekana?Alikosekana spea tairi
Mwanangu messi anabeba balloon d or mapema sana
Sawa sasa ahame ligi akachukue kombe huko. Ronaldo ana kila kombe ligi mbali mbali
Ballon aiseee labda mbebwe mbeleko at its best. Messi hastahili ballon kuna wachezaji ligi mbali mbali huko wanastahili ballon
Mahaba yatakumaliza da Numbisa,!👇🏼
View attachment 1851717
View attachment 1851718
Mlete uyo wa kwako anaesitahili!
Hizo club za hizo ligi nyingine hajawahi kukutana nazo?Nimeshafunga jalada mpaka pale messi atakapohamia ligi nyingine
Messi mechi 37 goli 50 msimu mmoja wa La liga ndo hii rekodi unayoimaanisha?huu msimu Messi alifunga goli 91 akiwa ndani ya mechi 69 [emoji23]Nyie rukeni rukeni humuu team messi
Ila mfungaji wa muda wote mnamfahamu
Mtoa assist wa muda wote mnamfahamu
Mwenye rekodi ya magoli mengi ndani ya muda mfupi hapo hispania mnamjua
Rekodi hio hio ireplicate italia mnamjua
Haya maswala ya ballon d'or mimi siwezi kuyaangalia maana ni kura na kura zinaweza kumtoa mtu sahihi kwenye kitu anachostahili refer to sneijder, xavi ,iniesta and so...
Kwan hilo goli la copa amefunga yeye?
Sasa kwann mumtukuze kiasi hiki...
Kombe moja la kitaifa mnapiga keleeeele watu wakina cr7 wana mawili
Hizo club za hizo ligi nyingine hajawahi kukutana nazo?
Hizo club za hizo ligi nyingine hajawahi kukutana nazo?
Mkuu kumbe ligi kwako ni EPL tu aiseeeAnajitoa ufahamu👇🏼
Here are Leo Messi's numbers against each side from the Premier League top 6:
Arsenal: 9 goals in 6 games
Manchester City: 6 goals in 6 games
Manchester United: 4 goals in 6 games
Chelsea: 3 goals in 10 games
Liverpool: 2 goals in 4 games
Tottenham: 2 goals in 2 games
Mnajitoa ufahamu alishachezea hizo club?
Mkuu kumbe ligi kwako ni EPL tu aiseee
Hatujui yaani tumemtafuta kila kona haonekani
Kaangalie takwimu upya mzeeMessi mechi 37 goli 50 msimu mmoja wa La liga ndo hii rekodi unayoimaanisha?huu msimu Messi alifunga goli 91 akiwa ndani ya mechi 69 [emoji23]
Hapo kwenye assist tusijisumbue kabisa Messi ndo anaongoza