Mashabiki wa Ronaldo njooni huku

Mashabiki wa Ronaldo njooni huku

Mwanangu messi anabeba balloon d or mapema sana
Screenshot_20210713-092807_Instagram.jpg
Screenshot_20210713-135732_Instagram.jpg


King of the world anaondokanayo asubuhi mapemaa


Sasa, acha walete statistics za wengine uone watavyoaibika 🤣🤣🤣🤣 hawaleti ng'oo
 
Sawa sasa ahame ligi akachukue kombe huko. Ronaldo ana kila kombe ligi mbali mbali

Ballon aiseee labda mbebwe mbeleko at its best. Messi hastahili ballon kuna wachezaji ligi mbali mbali huko wanastahili ballon

Mahaba yatakumaliza da Numbisa,!👇🏼
Screenshot_20210713-135732_Instagram.jpg

Screenshot_20210713-092807_Instagram.jpg


Mlete uyo wa kwako anaesitahili!
 
Nyie rukeni rukeni humuu team messi
Ila mfungaji wa muda wote mnamfahamu
Mtoa assist wa muda wote mnamfahamu
Mwenye rekodi ya magoli mengi ndani ya muda mfupi hapo hispania mnamjua
Rekodi hio hio ireplicate italia mnamjua
Haya maswala ya ballon d'or mimi siwezi kuyaangalia maana ni kura na kura zinaweza kumtoa mtu sahihi kwenye kitu anachostahili refer to sneijder, xavi ,iniesta and so...
Kwan hilo goli la copa amefunga yeye?
Sasa kwann mumtukuze kiasi hiki...
Kombe moja la kitaifa mnapiga keleeeele watu wakina cr7 wana mawili
Messi mechi 37 goli 50 msimu mmoja wa La liga ndo hii rekodi unayoimaanisha?huu msimu Messi alifunga goli 91 akiwa ndani ya mechi 69 [emoji23]

Hapo kwenye assist tusijisumbue kabisa Messi ndo anaongoza
 
Hizo club za hizo ligi nyingine hajawahi kukutana nazo?

Anajitoa ufahamu👇🏼
Here are Leo Messi's numbers against each side from the Premier League top 6:

Arsenal: 9 goals in 6 games
Manchester City: 6 goals in 6 games
Manchester United: 4 goals in 6 games
Chelsea: 3 goals in 10 games
Liverpool: 2 goals in 4 games
Tottenham: 2 goals in 2 games
 
Mnajitoa ufahamu alishachezea hizo club?
Hizo club za hizo ligi nyingine hajawahi kukutana nazo?
Anajitoa ufahamu👇🏼
Here are Leo Messi's numbers against each side from the Premier League top 6:

Arsenal: 9 goals in 6 games
Manchester City: 6 goals in 6 games
Manchester United: 4 goals in 6 games
Chelsea: 3 goals in 10 games
Liverpool: 2 goals in 4 games
Tottenham: 2 goals in 2 games
Mkuu kumbe ligi kwako ni EPL tu aiseee
 
Mnajitoa ufahamu alishachezea hizo club?


Mkuu kumbe ligi kwako ni EPL tu aiseee

The Argentine has scored 26 goals against the Premier League best teams - all of them have come in the Champions League.. angelikua anachezea ligi ya uingereza tungeongea mengine 😄
 
Messi mechi 37 goli 50 msimu mmoja wa La liga ndo hii rekodi unayoimaanisha?huu msimu Messi alifunga goli 91 akiwa ndani ya mechi 69 [emoji23]

Hapo kwenye assist tusijisumbue kabisa Messi ndo anaongoza
Kaangalie takwimu upya mzee
Nimesema magoli mengi ndani ya muda mfupi sijasema ndani ya msimu

Consistency mkubwa
And by the way japo wengi mnakataa hii theory lakini cr7 hakupata wasaa wa kuanza na kikosi bora duniani kama ilivo kwa messi

Katoka sporting kwanza ndo akaja man u tofauti na kijana wa la masia aliewakuta wakina villa iniesta na xavi barca

Najua utapinga pia lakini jiulize
Kama naye neymar angeanzia la masia ya barca kama messi unahisi mpaka sasa angekua hana ballon d'or??
 
Back
Top Bottom