February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Ronaldo alianza kumtuma Pepe na Bruno Fernandez wa ureno kusema kuwa FIFA wanambeba Messi.
Tokea hapo kumekuwa na wimbi kubwa la mashabiki wa Ronaldo ambao kila mechi ya Argentina wanalalamika inabebwa, mfano ni jana ile penati.
Tunajua ndio penalty nyingi kwenye mpira huwa zinaleta debates lakini Pale ilikuwa clear kabisa, Kipa alimfata mchezaji na kumvaa na kumuwekea na mguu kabisa ili asipite.
Haijalishi kama angeupata au asingeupata maana lengo la Alvarez ilikuwa kumla kanzu na kumzunguka kipa.
Lile tendo hata lingefanyika nje ya box, ni faulo kabisa ile, ila utakuta mashabiki lialia wa Ronaldo wanasema Argentina inabebwa.
Mpira haupo hivyo wazee, this is just a game, acheni uhasama na ushabiki maandazi. Mkifanya hivyo mnaharibu hata ladha ya mpira.