Timu Andunje mnaweweseka sana, kwani si mmeshaandaliwa na FIFA mbebe kombe lenu la dunia kwa mbeleko ili Andunje wenu toka Argentina asistaafu bila ya kuwa na tuzo ya ubora sawa na Pele?
Tunajua mvua inyeshe au jua liwake tuna penalties zetu za kutosha tu fainali Vs timu yoyote ile itayoingia [emoji1732][emoji1]
Miss wenu ana nini kwani hadi kila mechi ikiwa inachezwa anawazonga zonga Marefa kuongea nao, hajiamini au anawakumbushia bahasha walizotembezewa ili wasiwasahau kuwabeba Argentina [emoji848][emoji16]