Mashabiki wa Simba acheni utoto, ya nini kujisifia mmewasajili wachezaji ambao hamjawasajili?

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Mimi ni shabiki wa simba lakini kuna baadhi ya mashabiki wa Sumba wanakera! Ukipitia akaunti nyingi facebook na mitandao mingine ya kijamii, unakuta mashabiki wengi wa simba wanaeneza habari kuwa Asante Kwasi pamoja na Mchezaji mwingine wa Kutoka Msumbiji ( jina limenitoka) Eti wanatua simba na taratibu zimekamili, ilihali wachezaji wenyewe pamoja na timu wanazocheza kwa sasa wanakanusha Mara kwa Mara uvumi huo, lakini Mashabiki wa simba wao wameshupalia hill tu! Huu ni utoto wa kutamani baba amiliki ghorofa wakati huo uwezo haupo! Kama hatuna taarifa za kutosha kutoka kwa viongozi wetu wakuu tuwe tunaacha kujifariji na kuanza kuwachanganya watu.

Dirisha la usajili linafungwa hakuna taarifa kutoka uongozi wa juu kuwa wamesajili lakini ninyi mmekalia mitandaoni kujifariji tu eti mmemsajili Fulani na fulani! Huu ni ujinga wa kiwango cha juu. Narudia tena, mashabiki wa simba acheni utoto, ongeeni masuala ambayo yana tija kwa ajili ya kuendeleza timu yetu na siyo porojo za vijiweni tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe bado ni porojo mimi nilijua wameshasajiliwa
 
Wana frustration za Mo kunyimwa share kubwa na Mwakyembe
 
Umechangia ngapi kusajili? Wasajili wasisajili kazi yako ni kushangilia ukitaka kuhoji nunua share
 
Mimi ni shabiki wa simba lakini kuna baadhi ya mashabiki wa Sumba wanakera! Ukipitia akaunti nyingi facebook na mitandao mingine ya kijamii, unakuta mashabiki wengi wa simba wanaeneza habari kuwa Asante Kwasi pamoja na Mchezaji mwingine wa Kutoka Msumbiji ( jina limenitoka) Eti wanatua simba na taratibu zimekamili, ilihali wachezaji wenyewe pamoja na timu wanazocheza kwa sasa wanakanusha Mara kwa Mara uvumi huo, lakini Mashabiki wa simba wao wameshupalia hill tu! Huu ni utoto wa kutamani baba amiliki ghorofa wakati huo uwezo haupo! Kama hatuna taarifa za kutosha kutoka kwa viongozi wetu wakuu tuwe tunaacha kujifariji na kuanza kuwachanganya watu.

Dirisha la usajili linafungwa hakuna taarifa kutoka uongozi wa juu kuwa wamesajili lakini ninyi mmekalia mitandaoni kujifariji tu eti mmemsajili Fulani na fulani! Huu ni ujinga wa kiwango cha juu. Narudia tena, mashabiki wa simba acheni utoto, ongeeni masuala ambayo yana tija kwa ajili ya kuendeleza timu yetu na siyo porojo za vijiweni tu
.....ni sehemu ya Burudani nayo
 
4714e1a86928829d678697703912d1ca.jpg

Hao ni akina nani wanaosaini mikataba
 
Mimi ni shabiki wa simba lakini kuna baadhi ya mashabiki wa Sumba wanakera! Ukipitia akaunti nyingi facebook na mitandao mingine ya kijamii, unakuta mashabiki wengi wa simba wanaeneza habari kuwa Asante Kwasi pamoja na Mchezaji mwingine wa Kutoka Msumbiji ( jina limenitoka) Eti wanatua simba na taratibu zimekamili, ilihali wachezaji wenyewe pamoja na timu wanazocheza kwa sasa wanakanusha Mara kwa Mara uvumi huo, lakini Mashabiki wa simba wao wameshupalia hill tu! Huu ni utoto wa kutamani baba amiliki ghorofa wakati huo uwezo haupo! Kama hatuna taarifa za kutosha kutoka kwa viongozi wetu wakuu tuwe tunaacha kujifariji na kuanza kuwachanganya watu.

Dirisha la usajili linafungwa hakuna taarifa kutoka uongozi wa juu kuwa wamesajili lakini ninyi mmekalia mitandaoni kujifariji tu eti mmemsajili Fulani na fulani! Huu ni ujinga wa kiwango cha juu. Narudia tena, mashabiki wa simba acheni utoto, ongeeni masuala ambayo yana tija kwa ajili ya kuendeleza timu yetu na siyo porojo za vijiweni tu
Pilipili usiyoila yakuwasha nn! pooovu
 
Kama hufuatulii mwenendo Wa club yako na hujui chochote kaa kimya,asante kwasi yupo simba rasmi
 
Ndio maana kila mara nasema washabiki wa Simba ni watu wasiojielewa.

Ushabiki unapitiliza mpaka kwny uhalisia.
 
Back
Top Bottom