Mashabiki wa Simba bwana muda wote wanajadili Yanga

Rule L

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2020
Posts
1,846
Reaction score
2,754
Kwemaaaa?

Hawa watu sijui wapoje, wao muda wote wanajadili yanga utadhani wao hawana mechi,.

Mbumbumbu tumieni huo muda kujadili namna ya kumtoa mwarabu, ohoooooooo msije mkasema hamkuambiwa
 
Kwemaaaa?

Hawa watu sijui wapoje, wao muda wote wanajadili yanga utadhani wao hawana mechi,.

Mbumbumbu tumieni huo muda kujadili namna ya kumtoa mwarabu, ohoooooooo msije mkasema hamkuambiwa
Feat of the unknown... Pilipili iliyo shamba...!!!
 
Ukishindwa kushindana nao, ungana nao. Ndio wadau wa simba wanachokifanya kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…