Mashabiki wa Simba bwana muda wote wanajadili Yanga

Mashabiki wa Simba bwana muda wote wanajadili Yanga

Mwanamke lazima amjadili mumewe kila mara kwasababu ya mahaba motomoto anayopewa!
 
Kwemaaaa?

Hawa watu sijui wapoje, wao muda wote wanajadili yanga utadhani wao hawana mechi,.

Mbumbumbu tumieni huo muda kujadili namna ya kumtoa mwarabu, ohoooooooo msije mkasema hamkuambiwa
Azamu anakula chuma 5, baada ya hapo mamelodi anakuja nae ana kula chuma 5 vilevile kama kawaida 🐒
 
Yanga kwa Mamelodi wameyatimba, wasubiri mwakani

hiyo hapo w mbumbumbu
Kwahiyo unaona kwamba kuandika jamiiforums au (JF) nashindwa au ama kweli umbumbumbu nao ni kazi
 
kuandika hujui,unaambiwa weka ushahidi pia hujui.eti"tafuta humuhumu jeiefu.,,jeiefu ndio nini wewe gwedegwede?
Aliyeandika hapa ni mtu au kuku amekwaruza. alafu chukua uhai ya buku hapo unywe upunguze jazba, nyau wewe.
 
Yanga na mamelodi ni mabingwa wa nchi zao watakapokutana nyasi ndiyo zitaumia . Fainali imekuja mapema .
 
Kwemaaaa?

Hawa watu sijui wapoje, wao muda wote wanajadili yanga utadhani wao hawana mechi,.

Mbumbumbu tumieni huo muda kujadili namna ya kumtoa mwarabu, ohoooooooo msije mkasema hamkuambiwa
Kunyume chake pia ni sahihi
 
Aliyeandika hapa ni mtu au kuku amekwaruza. alafu chukua uhai ya buku hapo unywe upunguze jazba, nyau wewe.
unajitia kidole alafu unanipa mimi ninuse,nusa mwenyewe mbuzi wa jangwani wewe gwedegwede.

images (2).jpeg
 
Back
Top Bottom