yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,409
Siku hizi kuna tabia ya ajabu imezuka sijui inetokana na nini asilimia 95 ya posti za watu wa simba zinaizungumzia yanga iwe fb,jf,twitter ,goOgle,vijiweni,redioni,nk,hawaoni ya timu yao wakiamka asubhi ni yanga,....yanga...yanga wengine wameona haitoshi wanataka wafanye mkutano kwenye jengo la yanga ..wanasaikolojia tusaidieni hapa..huko nyuma hawakuwa hivi