Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Si kweli kwamba hawautaki uwanja Chamazi.Uwanja huo ambao gharama yake kwa mechi moja ni milioni 5.9 kwa siku sisi hatuutaki na ndio maana hatukwenda kwa wingi uwanjani, na mkiendelea kutumia uwanja huo hata nafasi ya nne hamshiki msimu huu.
Acha kutudanganya wewe, mechi gani ya Simba kwenye ligi mashabiki wamekwenda wengi? Timu mmeisusa zamani tu sababu ni mbovu.Uwanja huo ambao gharama yake kwa mechi moja ni milioni 5.9 kwa siku sisi hatuutaki na ndio maana hatukwenda kwa wingi uwanjani, na mkiendelea kutumia uwanja huo hata nafasi ya nne hamshiki msimu huu.
Mwenyeji alikuwa KMC, mngewambia mnakotaka wapeleke Mechi yenu.Uwanja huo ambao gharama yake kwa mechi moja ni milioni 5.9 kwa siku sisi hatuutaki na ndio maana hatukwenda kwa wingi uwanjani, na mkiendelea kutumia uwanja huo hata nafasi ya nne hamshiki msimu huu.