Mashabiki wa Simba hawakwenda uwanjani sana leo kwa sababu hawautaki uwanja wa Chamazi

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Uwanja huo ambao gharama yake kwa mechi moja ni milioni 5.9 kwa siku sisi hatuutaki na ndio maana hatukwenda kwa wingi uwanjani, na mkiendelea kutumia uwanja huo hata nafasi ya nne hamshiki msimu huu.
 
Si kweli kwamba hawautaki uwanja Chamazi.
Hawakwenda sababu wameamua kusimama na Chama.
 
Uwanja huo ambao gharama yake kwa mechi moja ni milioni 5.9 kwa siku sisi hatuutaki na ndio maana hatukwenda kwa wingi uwanjani, na mkiendelea kutumia uwanja huo hata nafasi ya nne hamshiki msimu huu.
Acha kutudanganya wewe, mechi gani ya Simba kwenye ligi mashabiki wamekwenda wengi? Timu mmeisusa zamani tu sababu ni mbovu.
 
Back
Top Bottom