Mashabiki wa Simba jiandaeni kisaikolojia dhidi ya Vipers siku ya Jumanne

Nadhan wewe unahitaji tiba na ushauri wa kisaikolojia kwa maumivu ya leo
 
Kumekua na mashabiki maandazi wakijiaminisha kuwa watamfunga vipers, hii gemu bado ni ngumu sana Kama mnavyodhani nyinyi.

Nimefuatilia gemu iliyopita vipers vs simba kiufupi wachezaji wa simba mbinu zao zimefika mwisho hawana mbinu tena.

Kuanzia kwa viungo wa Kati mpaka mawinga wa pande zote kushoto na kulia hawana ubunifu tuseme tu kuwa simba bahati ilikuwa kwao na ndyo maana wakapata goli moja la ndondokela.

Hii gemu bado ni mbichi sana, vipers watakuja kulipa kisasi Cha goli mbili kwa mkapa na kuacha msiba mzito pale msimbazi hasa kwa mashabiki wanaotembea na majibu mfukoni nakusahau kuwa wanakikosi dhaifu.

Nawasihi mashabiki lialia jiandaeni kisaikolojia kwani hamtoamini kile kitakacho wakuta pale kwa mkapa.
Pole
 
😂😂
 
Back
Top Bottom