Vipi sio wewe ulioteshwa kwamba Simba atafungwa goli 1 na Galaxy na Chama atakosa penalti?
Ndoto iliisha salama au ulijinyea?
Kwenye kila posti inayopostiwa hapa na wapenzi wa Utopolo asilimia 90 zinawahusu Simba.
Ndio maana msemaji kazimia kuingia robo fainali.