Mashabiki wa Simba kwanini mnafuraha na draw ya Al Ahly Tripoli?

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
I will be short

Simba fans are actually happy with the goalless draw against Al Ahly Tripoli despite the 50% - 50% chance of qualifying in the group stage here at home.

Simba had a bad game. Imagine:

1. Zero shots on target.
2. Low ball possession.
3. Outrun.
4. Outperformed.
5. Referee helped them.
6. Were lucky to leave with a draw.

My questions??
a)
Do you think things will be different at Mkapa Stadium?

b) Which player will bring these positive changes?

c) do you have a surprise player to change the results at home who didn't play ??

d) Where is this happiness coming from?
e) what's so positive about mkapa stadium?

πŸ€” furaha hii mnatoa wapi??

πŸ€” kuna mganga wa mechi za nyumbani au?

πŸ€” kwa kuzidiwa kule?? na kocha kama fadlu?

Soma Pia: FT: Al Ahly Tripoli 0-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Tripoli International Stadium | 15/09/2024
 
Tunasubiri stori za mechi ya marudiano kama tumekufa kiume!! Timu inajijenga, Kibu katuangusha, Debora hakuwa kwenye fomu, Yanga wameroga uwanja, Balua hana uzoefu, Mangungo atupishe imetosha, mashabiki hawakujaza uwanja, Fadlu kocha wa viungo tu, Semaji ana nuksi etc
 
sawa

hii ndo mechi ya kwanza kuona simba imekuwa out played and out performed. hata mechi 4 na Al ahly Egypt last season. mambo hayakuwa mabaya hivi??

wana simba wanaona fresh???
 
Ukikumbuka mwaka jana Simba walivyochekelea CAF walipowapanga na Al Ahly Egypt Robo FAINALI na huku wakicheka Yanga kucheza na Mamelodi ndio utajua Simba Ina watu wa aina gani?

Al Ahly iliwadunda nje ndani wakatoka kwa aibu.

Ukiangalia mechi ya Libya, Al Ahly iliwazidi uwezo, kwahiyo hata kwa Mkapa watalazimika kukaa nyuma tu, na ikitokea Al Ahly akipata goli moja au draw yoyote ya magoli basi Simba OUT
 
Broo hizi ngeli za wapi?! Shule ya Kata au St Mary's 😁😁😁😭
 
Jambo pekee unapaswa kutambua wanasimba hatuna mipaka ya vyanzo vya furaha, kwakua yote yalotupa furaha unayajua vema, itakua furaha pia tukikufanya kua mtunza takwimu wetu,

Unafaa sana kusimama kama simba servant hasa ktk kitengo cha takwimu ya vyanzo vya furaha vya wanasimba
 
Hahahaha 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 hahaaaaaaaaaaaa...
 
Mungu sio shemeji yako kwahiyo AL ahly hawezi kupata hilo goli kama unavyoomba iwe.
 
Tunachojua kwa Mkapa hatoki mtu, ngoja tuone.
 
Mwambie Simba sio ilifurahia Bali Simba INA msemo ' ukitaka kuwa Mkubwa cheza na wakubwa' wao waendelee kucheza na comedian Akina Vitalo.
 
Mwambie Simba sio ilifurahia Bali Simba INA msemo ' ukitaka kuwa Mkubwa cheza na wakubwa' wao waendelee kucheza na comedian Akina Vitalo.
Msimu uliopita Yanga imecheza na Al Ahly, Belouizdad, na Mamelodi na katika hizo timu hakuna timu hata moja iliyoweza kumfunga Yanga nje ndani.
Na msimu huu Yanga kabla ya kucheza na CBE na Vitalo, imeshacheza na Simba na Azam na hawa wote wameshafungwa na Yanga. Sasa sijui mnaona wivu gani kucheza na hao wakati timu yako imeshachapwa.
 
I will be short

Simba fans are actually happy with the goalless draw against Al Ahly Tripoli despite the 50% - 50% chance of qualifying in the group stage here at home.
πŸ€” furaha hii mnatoa wapi??
Simba tulifungwa 2-1 katika 1st leg dhidi ya Nkana, na baada ya filimbi ya mwisho kupulizwa, wachezaji na mashabiki wa Simba walishangilia, na wale wa Nkana wakawa wanyonge. Kilichokuja kutokea Dar nadhani kilidhihirisha maana ya ile furaha


JUU: Mchezaji wa Nkana akimlalamikia refa kumaliza mechi licha ya kwamba
walikuwa wameshinda 2-1
 
Your language sound much like English
 
Kumbukumbu hiyo tuhamishie kwa msimu uliopita ambapo Simba ndani ya uwanja wa Mkapa kashinda mechi mbili tu vs wabovu Wydad na wabovu Galaxy kati ya michezo mitano iliyocheza katika uwanja wa Mkapa msimu uliopita.
 
Kumbukumbu hiyo tuhamishie kwa msimu uliopita ambapo Simba ndani ya uwanja wa Mkapa kashinda mechi mbili tu vs wabovu Wydad na wabovu Galaxy kati ya michezo mitano iliyocheza katika uwanja wa Mkapa msimu uliopita.
Ilikuwa group stage ambayo hakuna hofu ya goli la nyumbani wala ugenini. Weka mchezo wa peliminary round uone, kama vile Nkana
 
Ilikuwa group stage ambayo hakuna hofu ya goli la nyumbani wala ugenini. Weka mchezo wa peliminary round uone, kama vile Nkana
Vs Power Dynamos ilikuwa ni group stage? Tena power Dynamos ndio waliotangulia kisha kisha Simba kusawazisha kwa penati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…