Mashabiki wa Simba kwanini mnafuraha na draw ya Al Ahly Tripoli?

Mashabiki wa Simba kwanini mnafuraha na draw ya Al Ahly Tripoli?

Sawa kama mlivyomaliza kwa Galaxy na UD Songo
Nilikwambia mechi iliisha kwao, ndio maana tukafurahia ile sare
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Ukiangalia mechi ya Libya, Al Ahly iliwazidi uwezo, kwahiyo hata kwa Mkapa watalazimika kukaa nyuma tu, na ikitokea Al Ahly akipata goli moja au draw yoyote ya magoli basi Simba OUT
Njoo basi utetee maekezo yako, msijifiche huko. Kwamba Simba watalazimika kukaa nyuma tu!
 
I will be short

Simba fans are actually happy with the goalless draw against Al Ahly Tripoli despite the 50% - 50% chance of qualifying in the group stage here at home.

Simba had a bad game. Imagine:

1. Zero shots on target.
2. Low ball possession.
3. Outrun.
4. Outperformed.
5. Referee helped them.
6. Were lucky to leave with a draw.

My questions??
a)
Do you think things will be different at Mkapa Stadium?

b) Which player will bring these positive changes?

c) do you have a surprise player to change the results at home who didn't play ??

d) Where is this happiness coming from?
e) what's so positive about mkapa stadium?

🤔 furaha hii mnatoa wapi??

🤔 kuna mganga wa mechi za nyumbani au?

🤔 kwa kuzidiwa kule?? na kocha kama fadlu?

Soma Pia: FT: Al Ahly Tripoli 0-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Tripoli International Stadium | 15/09/2024
Nadhani majibu umeyapata sasa
 
Ukikumbuka mwaka jana Simba walivyochekelea CAF walipowapanga na Al Ahly Egypt Robo FAINALI na huku wakicheka Yanga kucheza na Mamelodi ndio utajua Simba Ina watu wa aina gani?

Al Ahly iliwadunda nje ndani wakatoka kwa aibu.

Ukiangalia mechi ya Libya, Al Ahly iliwazidi uwezo, kwahiyo hata kwa Mkapa watalazimika kukaa nyuma tu, na ikitokea Al Ahly akipata goli moja au draw yoyote ya magoli basi Simba OUT
Salama bwana Mpwimbe!!?
 
Back
Top Bottom