Mashabiki wa Simba kwanini mnafuraha na draw ya Al Ahly Tripoli?

Mwambie Simba sio ilifurahia Bali Simba INA msemo ' ukitaka kuwa Mkubwa cheza na wakubwa' wao waendelee kucheza na comedian Akina Vitalo.
Kwahiyo Alhal tripol ni timu kubwa siku hizi?
Rage ajengewe sanamu.
 
Kwahiyo Alhal tripol ni timu kubwa siku hizi?
Rage ajengewe sanamu.
YES AL AHLY TRIPOLI NI MKUBWA KULIKO NYUMA MWIKO COZ KACHEZA ROBO FAINALI YA KLABU BINGWA KABLA YAKO MWAKA 2017 ANA WACHEZAJI WAKUBWA KULIKO WEWE, KIKOSI CHAKO WEWE NYUMA MWIKO KINA THAMANI YA BILIONI 2 AL AHLY MCHEZAJI WAO MMOJA TU MABULULU ANA THAMANI YA BILIONI 4.4 SAWA NA UTAJIRI WA GSM.
 
Mashabiki wa Simba hawana hata D moja; wote ni F. Ushabiki kamili unahitaji angalau D mbili.
 
Tatizo hawa vyura wanadanganyana vijiweni πŸ˜‚. Ila Yanga wametoka mbali kipindi hawajaanza kushiriki haya mashindano makubwa walikuwa Wana kazi ya kupokea wageni Airport na kuwapa mbinu za kuifunga SimbaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Weka rank ya CAF, tuone kati ya Yanga na Al Ahli Tripoli nani yupo juu? Ukizungumzia habari za miaka ya nyuma utasema Asante Kotoko ni mkubwa kuliko Simba kisa tu alifanya vizuri zamani, ila mpira ni sasa na sio historia ya zamani
 
the whole Africa has now woken up to caf competition unlike 5 years ago . The game is completely different Even apr and vital o have dreams of caf competition . Stop thinking of the past when no one cared about caf .
 
They spent that money for caf this year
A lot of African teams now wants caf competition unlike 5-10 years ago . The ambitions were dire .
Now even singida wants a piece of caf competition .
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Weka rank ya CAF, tuone kati ya Yanga na Al Ahli Tripoli nani yupo juu? Ukizungumzia habari za miaka ya nyuma utasema Asante Kotoko ni mkubwa kuliko Simba kisa tu alifanya vizuri zamani, ila mpira ni sasa na sio historia ya zamani
OK FINE KWA MANTIKI HIYO UNAKUBALI KUWA SIMBA NI MKUBWA KULIKO YANGA? COZ KWENYE RANK ZA CAF SIMBA YUKO JUU YA YANGA?
 
Mashabiki wa Utopolo..mbona mna huzuni japo mmeshinda goli moja?!
 
OK FINE KWA MANTIKI HIYO UNAKUBALI KUWA SIMBA NI MKUBWA KULIKO YANGA? COZ KWENYE RANK ZA CAF SIMBA YUKO JUU YA YANGA?
Ndiyo kwenye mashindano ya kimataifa Simba ni mkubwa kuliko Yanga na ndio maana Simba ina point 39 Yanga ina point 31 kwenye CAF ranking. Yanga ndio imeanza kujipata msimu wa 2022/2023 na msimu wa 2023/2024 kwa kufika fainali na robo fainali ya mashindano ya CAF. Yanga ipo kwenye project ya kuhakikisha anakuwa mkubwa katika mashindano ya kimataifa kwa kuwa na muendelezo mzuri jambo ambalo linaweza kuifanya ikaizidi Simba ukubwa kama msimu huu itafanya vizuri zaidi.
 
if that happens +?

and fadlu failed to qualify simba will fire fadlu??
 
Nadhani majibu yote umeyapata
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…