THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Nianze kwa kusema nimeiona jezi ya Simba na mimi nimevutiwa na ile nyeupe.
Kingine Mimi sio shabiki wa simba.
Ila kwa kinachoendelea kimenifanya nione kua kumbe wana simba mna MATATIZO sana katika Akili yenu.
Leo Mnamuita SANDALAND anawa hujumu katoa jezi Mbaya Mara kaandika Neno SANDA mbele ya Jezi.
Mnashaanza kushinikiza Viongozi kua Wamwambie SANDALAND atoe hio SANDA au wavunje Mkataba na SANDALAND hivi Mnaelewa mnachokiongea Nyi?
Ni waulize Mnataka kusema SANDALAND ametoa Jezi ambayo viongozi walikua hawajazipitia? hizo picha za ku introduce hio jezi mnataka kusema zimepigwa Leo?
Mna force SANDALAND aingie kwenye Hasara? kisa hisia zenu
Kama SANDALAND kakosea Viongozi walitakiwa kuliona hilo toka Mwanzo ila kwa Viongozi hilo halikuonekana na walichukulia la kawaida sana ila Nyie mshaanza kuleta Lawama.
Kama hamununui Jezi zenu tutazinunua sisi ambao sio Mashabiki wenu na tutazivaa.
Kwa Namna hii hata huyu Kocha mlie nae mtafurusha Soon tena nyie MASHABIKI na sio VIONGOZI watako mfukuza.
#MLALE UNONO