Mashabiki wa Simba mna tatizo kubwa sana, sio bure

Kwa nini uongozi haumwambii sandaland kuwa licha ya kwamba yeye ni kot supplier, aandike ktk jezi jina au nembo ambayo ni brand yake, sio kuanza kjandika majina yake... kesho ataandika jina la ukoo wake.. Mie simba ila hizi sinunui.
 
A
Acha ujuaji wa Kindezi.Neno Sanda hatulitaki sasa hata kama sijui Memorandum au Notice.
Hatulitaki full stop
 
Nani huyo anasema jezi mbaya?? Akapimwe mkojo...nimenunua zote 3 ninazo nabadilisha tuu..leo na jinzi kesho na taiti bamba keshokutwa na kikaptula...
#SANDA# ni jina tuu kama ukiamua kufupisha jina lako...
HUPENDEZI
 
Sanda 5-1
 
Shida Uto wanatuzodoa sana. Kama sio Uto kutuzodoa sisi tungekaa kimya na jersy zetu tukifurahia.
Ukijumisha Ile 5 1 MBA inazidi kutuchangwnya.
 
Umetumia utafiti gani kuwa mashabiki wote tumeinanga hiyo jezi?

Mkuu acha kukurupuka mwishowe uone unadharauliwa bure.
 
Makolo ni Manguruwe tu 🀣🀣🀣🀣
 
Nani huyo anasema jezi mbaya?? Akapimwe mkojo...nimenunua zote 3 ninazo nabadilisha tuu..leo na jinzi kesho na taiti bamba keshokutwa na kikaptula...
#SANDA# ni jina tuu kama ukiamua kufupisha jina lako...
Masponsor wanaumia sana, yani oesa yako ya kikoba unaweza kununuwa jezi pair tatu kweli? Muwaonee huruma jamani wana familia pia.
 
Ndiomaana jana nikuona na sister, nilimuuliza sister yule uliyekuwa nae mwenye msambwanda ni nani akanijibu shosti yake, una tako zuri bint kama umetokea kwa kagame.
Kijana bana yaishe πŸ˜€asee
 
Masponsor wanaumia sana, yani oesa yako ya kikoba unaweza kununuwa jezi pair tatu kweli? Muwaonee huruma jamani wana familia pia.
Sasa na mimi si napenda tuu kuvaa jamani? Sinywi pombe..simlii hela zake nyingi...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Wanaopiga kelele kuhusu Sanda ni mashabiki wa Yanga sio wa Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…