Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchezaji kuuzwa au kununuliwa haiko ndani ya uwezo wa mashabiki. Timu inayojiendesha kibiashara hununua wachezaji na kuuza wachezaji kwa wakati sahihi. Simba inasajili wachezaji wenye umri mdogo kwa kuzingatia hili na kuzingatia pia malengo ya timu.Hizo offer zinazotolewa ni kubwa mno ,zaidi hata ya Luis Miquison!
Je unaonaje auzwe halafu Miquison arudi au aletwe mzuri zaidi.
Maana Sakho hata hivo ana mapungufu mengi tu pamoja na kuwa na goli bora Africa.
Kwanza lazima mjue sisi wapenzi tunaona pengo la Luis halijawahi kuzibwa.Huyu Sakho angalau alifanya timu iwaweke roho juu mabeki wa timu pinzani.Watu wasumbufu kwa mabeki kama Morrison mmepata?Hizo offer zinazotolewa ni kubwa mno ,zaidi hata ya Luis Miquison!
Je unaonaje auzwe halafu Miquison arudi au aletwe mzuri zaidi.
Maana Sakho hata hivo ana mapungufu mengi tu pamoja na kuwa na goli bora Africa.
Means yanga wamesajili wastaafuMchezaji kuuzwa au kununuliwa haiko ndani ya uwezo wa mashabiki. Timu inayojiendesha kibiashara hununua wachezaji na kuuza wachezaji kwa wakati sahihi. Simba inasajili wachezaji wenye umri mdogo kwa kuzingatia hili na kuzingatia pia malengo ya timu.
Utopolo wao wanasajili kwa maoni ya washabiki. Wamesajili wachezaji 4 wa kigeni na hawajauza hata mchezaji mmoja. Na hata wachezaji waliowasajili hakuna hata mmoja atakayeuzika baada ya msimu mmoja kuisha.
Wamewacha kina Ushindinkwa kuwa tu mashabiki wamepiga kelele ila kiuhalisia Ushindi ni mchezaji mzuri sana.
Hii dunia sio fair,Sakho goli moja tu la kideo dunia nzima hadi CNN na BBC.mastaa wote wa afrika wanataka kupiga nae picha,Agents dunia nzima wanamtafuta na kutoa ofa.
Yule wa bao 14 katafutwa na timu moja tu ya S.Afric
Je kiwango kikishuka?? Ligi ya Bongo huijui vizuri eeeh??Binafsi naamini msimu ujao ana nafasi ya kuongeza thamani yake zaidi sababu sasa hivi agents wengi wanamtazama baada ya goli bora kuwaamsha.
Kama ni kuuzwa auzwe msimu ujao, anaweza leta faida uwanjani katika huo msimu na kifedha ofa zikawa zaidi ya sasa. Ila kama dau zitaenda beyond expectations kwa kiwango cha kushindwa kusubiri, ni sawa pia.
Unaamini kiwango kinaenda kushuka? Kama unaamini hivyo upo sawa.Je kiwango kikishuka?? Ligi ya Bongo huijui vizuri eeeh??
Hapa hapa, auzwee tupate pesa tulete wengine.
Kabisa. Hakuna mchezaji anaondoka akiwa kwenye prime age. Labda Kabwili tuMeans yanga wamesajili wastaafu
Mwisho wa siku maamuzi yatafanywa na mchezaji husika na uongozi wa team.Unaamini kiwango kinaenda kushuka? Kama unaamini hivyo upo sawa.
Haya ni maoni tu ya mashabiki ndo maana niliandika maoni ya mashabiki ni niniMchezaji kuuzwa au kununuliwa haiko ndani ya uwezo wa mashabiki. Timu inayojiendesha kibiashara hununua wachezaji na kuuza wachezaji kwa wakati sahihi. Simba inasajili wachezaji wenye umri mdogo kwa kuzingatia hili na kuzingatia pia malengo ya timu.
Utopolo wao wanasajili kwa maoni ya washabiki. Wamesajili wachezaji 4 wa kigeni na hawajauza hata mchezaji mmoja. Na hata wachezaji waliowasajili hakuna hata mmoja atakayeuzika baada ya msimu mmoja kuisha.
Wamewacha kina Ushindinkwa kuwa tu mashabiki wamepiga kelele ila kiuhalisia Ushindi ni mchezaji mzuri sana.