Mashabiki wa Simba mseme mapema je Mo na Mangungu mitano tena au vipi kabla ya matokeo ya kesho dhidi ya Yanga

Mashabiki wa Simba mseme mapema je Mo na Mangungu mitano tena au vipi kabla ya matokeo ya kesho dhidi ya Yanga

AI BRAINFULL

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2019
Posts
2,122
Reaction score
5,319
Kama mangungu na mo wanafaa au hawafai mseme mapema kabla ya matokeo ya kesho maana najua wanaweza pongezwa au kuzongwa na kusemwa
 
Wakishimda SIFA KWA mangungu na wakifungwa mangungu na mo hawafai
 
Sema TFF wana sifa sana, kulikuwa na haja ya kumuweka R jigga kweli?
 
Mimi nataka makoro yaliwe tuone msimamo wao kuhusu mangungu na mo
 
Je mangungu hafai hata simba akishinda 3 bila kesho
 
Back
Top Bottom