NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Nani ambaye hajatazama mchezo wa horoya dhidi ya simba, horoya wakiwa nyumbani??
Kosa kosa ya magoli laiti Kama simba wangekuwa na washambulizi hatari Kama fistoni kalala mayele au hata Clement mzinze hakika simba ingepata ushindi mnono.
Lakini kutokana na kikosi duni Cha simba waliambulia patupu nakupoteza pointi mbele ya timu duni ambapo laiti Kama simba angetulia angepata magoli mbele ya timu dhaifu horoya.
Nani ambaye hakutazama mchezo wa vipers dhidi ya simba, ambapo simba ilikua ugenini??
Mchezo ulikuwa mwepesi pande zote mbili lakini kutokana na udhaifu wa simba ilipata matokeo duni ndivyo hivyo hivyo kwa vipers nao walikua na kikosi duni kabisa kilichowakosesha matokeo mbele ya simba.
Nani alitazama game ya simba dhidi ya horoya, simba akishinda goli Saba mbele ya horoya??
Binafsi siwezi kupiga makofi nakusema kuwa simba ni Bora maana walikutana na kikosi dhaifu tu.
Nitapiga makofi na kuisifu simba endapo ataifunga rajacasablanca, mamelodi Al ahly au Al hilal hizo ndiyo timu bora kwa Sasa kwenye mashindano haya.
Nashangazwa na makelele ya mashabiki waliokuwa wakipiga keleke kuwa simba hii ya Sasa ni mbovu wamepumbazwa na goli saba wakiamini kuwa simba imerejesha makali yake.
My take simba ni mbovu tu ila kwa kuwa wanakutana na wabovu zaidi inawafariji mashabiki na kuendelea kuona kuwa simba timu bora kwa sasa, mashabiki msijipe moyo ngoja timu yenu ikutane na timu bora ndipo mtakapo Anza kuimba nyimbo yenu ile yakukataa wachezaji wazeee ndani ya kikosi.