Mashabiki wa Simba, msipumbazike na goli saba na kujiona tayari mmeshapata kombe la CAF

Al hilal bora kwa sababu yanga iliwatoa? Ktk hizo timu ulizotaja,ni timu mbili pekee ambazo hazijafungwa na Simba ambazo ni Raja Casablanca na Mamelod sundown tu.
Unazungumzia historia au unazungumzia kikosi Cha Sasa

Unataka kusema saivi simba mnakikosi Cha kuifunga Al ahly??

Acha ushabiki njoo kwenye uhalisia wewe.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nani amekupa mamlaka ya kutupangia furaha
Hao horoya hawana tofauti na zalani fc yanga hawawezi kujisifu kwa kuifunga zalan maana siyo kipimo sahihi

Sawa na nyie mnaojiona Bora wakati hamjakutana na kikosi Bora

Mbona mlivyopigwa na Casablanca mlianza kulalamika kuwa simba Ina wazee au siyo nyinyi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ccl hakuna timu mbovu
 
Al hilal waliwanajisi uto kijinsia kwa kuwapiga kimoko cha nguruwe pale omdurman .Kwanini mlishindwa kuwapiga goli 7 kama mna washambuliaji hatari kama Waleed Mzize na Mayele?
 
Kwa hiyo wewe na UPOYOYO wako huo ndiyo unataka kutuambia kuwa simba anakikiosi Bora kuliko Al ahly

Kweli mashabiki wa simba ni mbumbumbu nimeamini.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mpira una msimu wewe utoporo bwana..alahly hii ni mbovu kama ikikutana na simba ni tano tu..sasa unashangaa kuona alahly mbovu mbona haushangai tp mazembe kuwa mbovu
 
Wewe ni sawa na yule jirani mchawi anaroga then anakaa pembeni kusikilizia matokeo ulozi ukibuma ananuna.
 
Horoya mbovu? Hii ndio timu Bora West Africa kwa wakati huu, kwenye Africa Super 8 league imo.
 
Horoya na Mazembe wana tofauti gani? Mbona mzinze na mayele hawakutupia 7?
 
... laiti Kama simba wangekuwa na washambulizi hatari Kama fistoni kalala mayele au hata Clement mzinze hakika simba ingepata ushindi mnono.
Bahati mbaya ni kwamba Mayele hana uwezo wa kuifanya timu yoyote atakayoichezea kuwemo kwenye hatua ya makundi ya CAF Champions League
 
Nani ambaye hakutazama mchezo wa vipers dhidi ya simba, ambapo simba ilikua ugenini?? Mchezo ulikuwa mwepesi pande zote mbili lakini kutokana na udhaifu wa simba ilipata matokeo duni
Aisee! Simba ilipata matokeo duni ugenini dhidi ya Vipers! Na Vipers wakapata matokeo mazuri ugenini dhidi ya Yanga ya Mayele!
 
Kwani lazima simba ikuteseee???baki na utopoloo yakoo.
Utatesekaa sana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unazungumzia historia au unazungumzia kikosi Cha Sasa

Unataka kusema saivi simba mnakikosi Cha kuifunga Al ahly??

Acha ushabiki njoo kwenye uhalisia wewe.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Duh! Kwani kikosi cha kina kagere na Asante kwasi kilimchomfunga Al ahly,kilikuwa na ubora kukizidi hiki cha sasa? I think hiki cha sasa ni bora kuliko kile cha akina Asante kwasi,na kinachofanya kionekane kibovu kupitiliza kikosi cha sasa ni propaganda propaganda za watu wa yanga na kuimarika zaidi kikosi cha yanga.kama kikosi cha yanga kingekuwa tia maji tia maji sasa hivi usingeona ubovu huo unaotajwa wa kikosi cha Simba,ila naamini Simba hii ambayo inabezwa inaweza kufika nusu fainali kuliko ile ya kina miqussion tuliyotegmea ingefanya makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…