Mashabiki wa Simba, msipumbazike na goli saba na kujiona tayari mmeshapata kombe la CAF

Horoya mbovu? Hii ndio timu Bora West Africa kwa wakati huu, kwenye Africa Super 8 league imo.
Walianza kwa de agosto,ilipofungwa nje ndani wakasema ni mbovu,,wakaja kwa vipers,ilipopigwa nje ndani wakasema ni mbovu,wakaja kwa Horoya waliipamba sana,ilipopigwa 7 bila wakasema mbovu nayo,so hao jamaa wa utopolo,timu ngangari kwao ni ile itakayo mfunga simba hata kama ikiwa ni polisi bandari ya Kenya
 
Sasa huyo Mayele alikuwa wapi pindi mnatolewa championship au alikuwa bado hajasajiliwa?! Watu wa Yanga mamlaka ya kuongelea timu ambayo hampo nayo daraja moja mnaitolewa wapi!? Nyie ndio mabingwa cha ajabu hamchezi hilo kombe la mabingwa alafu mnaanza kuleta porojo ooh horoya dhaifu nyie kiko wapi! Ongeleen ubora wa kikosi chenu chenye akina mayele na bado mko shirikisho
 
Kwani wew ubora wa kikosi chochote unaupima kwa mambo yapi? Yaorodheshe hapa then tuyaangalia kweny kikosi cha simba.
 
Furaha imekua kubwa sana kuliko malengo mliyojiwekea kana kwamba mmeshapata kombe lenu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kaka, Timu ipo Robo Fainali ligi ya MABINGWA Africa, Timu itasiriki Super League Africa kati ya timu 8 Simba hiyooo, Ipo nafasi ya pili kwenye ligi ya TZ, yaani inamhemea Yanga kwa nyuma, Timu inacheza pira bilian, timu immemchapa mtu 7 mtungi.. Tena aliyechapwa 7 naye yumo kwenye Super Africa League yaani timu Kubwa..

Sasa hapo sheikh ukilala unapiga makelele ni nongwa ?
 
Wewe unaongelea ushabiki Bali siyo uhalisia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hapo ndiyo mwisho wenu, kuwafunga vibonde msijiaminishe kuwa nyinyi ni Bora.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mbona povu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Limbukeni wa kuanzisha threads, halafu unajiona mwerevuuuu kumbe una andika pumba tu muda wote. Baada ya kusikia kuwa huwa kuna washindi wa majukwaa ya jamiiforum, basi umeamua kuwa unaleta vijimada uchwara na kujijibu mwenyewe.
 
Hayo mashindano hayajaanza Leo toka miaka hiyo yapo nenda kaangalie nimejoin mwaka gani ndiyo uje kuzungumza pumba zako.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Limbukeni wa kuanzisha threads, halafu unajiona mwerevuuuu kumbe una andika pumba tu muda wote. Baada ya kusikia kuwa huwa kuna washindi wa majukwaa ya jamiiforum, basi umeamua kuwa unaleta vijimada uchwara na kujijibu mwenyewe.
Wewe hapa ndiyo uliandika logic sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…