Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Utani wa JadiTulia hii ndio maana halisi ya michezo na sio userious haya yatapita baada ya mechi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utani wa JadiTulia hii ndio maana halisi ya michezo na sio userious haya yatapita baada ya mechi.
Au anapiga, unamkatia kwa sababu upo mazingira mabovu yasiyoruhusu kuongea lakini anapiga tena na tena.Kabla hatujaanza kutoa elimu ya mitandao tuanze na matumizi sahihi ya simu,
WaTanzania wanaweza kupiga missed call 9 kuulizia kitu ambacho wanaweza kutuma tu message wakajibiwa baadae, haha
Katumie tembe zako za ugonjwa wa akili, page ya Instagram ina thamani kuliko mchezaji yoyote kwenye klub yake ni vile tu huna akiliHuna akili wewe. Nasema tena huna akili. Narudia tena huna akili. Page ya instagram inaweza kuwa na thamani kuliko mchezaji? Huna akili wewe.
Hivi ukitajiwa £20M unajua kwa Tzshs ni kiasi gani?
Rudi ukalale wewe huna akili.
Hawezi kuelewa huyo Mtanganyika.Katumie tembe zako za ugonjwa wa akili, page ya Instagram ina thamani kuliko mchezaji yoyote kwenye klub yake ni vile tu huna akili
Sisapoti comments za matusiIssue sio kujazana kwenye page shida ni aina ya comments, matusi na ujinga ujinga plus imani za kishirikina ina maana bongo ndio kuna muamko wa mpira kuliko nchi zingine mbona huwezikuta matusi kwenye page za timu za Ulaya?
Namimi siungi mkono comments za matusiUshabiki bila ustaarabu ni uhuni
Hakuna atapenda kufanya biashara na watu oya oya tu wasiojielewa
Wangekuwa wanaocomment kufurahia mchezo hapo sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na uchawi pia1. Ukosefu wa Ajira
2. Ukisefu wa Elimu
3. Ushamba
4. Uchawa
5. Umaskini
Imagine hii ni official page ya Singida Fontaine Gate FC, ujue jinsi gani nchi ina ujinga mwingiSisapoti comments za matusi
Uzi ufungwe football ni sitarehe page za Liverpool na Manchester uwa tunafatilia comment za kule kama tunafatilia mtoa mada asingeita wabongo washambaMpira ni biashara na products ni mashabiki.
Simba na Yanga tuna utamaduni wetu ambao napendezewa nao ndio maana huwa nakuwa na mashaka na watu wanaosema Simba na Yanga ni Derby ya tano África.
Watu kujazana kwenye pages za timu ambazo zinajiandaa kucheza na timu zetu naona ni kitu kizuri.
Hiyo ndio nzuri sema unaiona simple kwasababu haifanyiki kwako.
Kwanza inaonesha kuwa Taifa letu lina mwamko wa watu kupenda mpira..
Vipi ungeona Al Ahly na Mamelodi wakijazana kwenye pages za Simba kama hivyo we ungejiskiaje?
Lazima uwe proud.
Basi pamoja na kwamba hiki kitu kwako unakiona cha kishamba lakini wao Mamelodi wanakifurahia na kweli kinawasaidia katika kujitangaza.
So siku nyingine hata ikitokea mnaomba friend match kwenye siku ya mwananchi watakuwa rahisi kuwakubalia kwasababu wanaijua nguvu yenu.
Wewe kweli mwehu. Hivi Maghayo ukienda kwenye account za club ya mpira utakuta page ya social network nayo ni asset zilizoorodheshwa?Katumie tembe zako za ugonjwa wa akili, page ya Instagram ina thamani kuliko mchezaji yoyote kwenye klub yake ni vile tu huna akili
Kuna mwehu anasema Samatta aliondolewa Villa kisa comments za wabongo kwenye page ya VillaMpira ni biashara na products ni mashabiki.
Simba na Yanga tuna utamaduni wetu ambao napendezewa nao ndio maana huwa nakuwa na mashaka na watu wanaosema Simba na Yanga ni Derby ya tano África.
Watu kujazana kwenye pages za timu ambazo zinajiandaa kucheza na timu zetu naona ni kitu kizuri.
Hiyo ndio nzuri sema unaiona simple kwasababu haifanyiki kwako.
Kwanza inaonesha kuwa Taifa letu lina mwamko wa watu kupenda mpira..
Vipi ungeona Al Ahly na Mamelodi wakijazana kwenye pages za Simba kama hivyo we ungejiskiaje?
Lazima uwe proud.
Basi pamoja na kwamba hiki kitu kwako unakiona cha kishamba lakini wao Mamelodi wanakifurahia na kweli kinawasaidia katika kujitangaza.
So siku nyingine hata ikitokea mnaomba friend match kwenye siku ya mwananchi watakuwa rahisi kuwakubalia kwasababu wanaijua nguvu yenu.
Akili yako ni ndogo sana huwezi kuelewaKuna mwehu anasema Samatta aliondolewa Villa kisa comments za wabongo kwenye page ya Villa
Toka hapa mwehu wewe. Unafikiri kishamba sana. Watu wenye malengo ya mbali waliowekeza pesa zao huwa hawayumbishwi na comments. Ingekuwa hivyo career za wengi zingeshakufa.Akili yako ni ndogo sana huwezi kuelewa
Official page? Yes ni official ila huwezi ikuta ikiwa listed as an asset kwenye club. Ila mchezaji ni asset ndio maana wanalipa billions kumnunua.Hivi una elewa maana na official page? au unatingisha matako tu hapo