Mashabiki wa Simba na Yanga tunatia aibu kwenye mitandao, tujirebishe

Kuna mwehu anasema Samatta aliondolewa Villa kisa comments za wabongo kwenye page ya Villa
Sio kweli

Hii ishu ya watu kuvamia kwenye pages za celebrities au Clubs huwa inatokea sehemu nyingi tu tena haifanywi na wabongo.

Mtazame Maguire kile kipindi alichokuwa akiandamwa kutokana na performance yake uwanjani mpaka akatishiwa usalama wake

Kwenye pages za Man U kila baada ya mechi wakipost tu watu walikuwa wakivamia posts na kumsema Maguire.

Maana yake hadi Man U ingeweza kuachana na Maguire kufuatia comments za watu kwenye pages za Club.

Na hizo ndio nyakati ambazo unaona hadi wachezaji wakipost chochote kwenge pages zao wana turn off comments.
 
Hii nchi ina janga la utaahira.
 
Kuna jamaa bullar anataka kutulisha ujinga wake. Eti club inamwacha mchezaji kwasababu ya comments za social network.
 
Umekula ugali?
 
Situation ya Maguire na Samatta zina fanana?
 
bando bei rahisi we unadhani utawazuiaje mkuu
 
Leo nakubaliana na ww
 
"Mamelody wakipost kitu kwenye ukurasa wao reply huwa ni mia 200 mpaka 300.

sasa wamepost haya maneno kama yalivyo kwa kiswahili,,"tunawatakia weekend njema Masandawana",wabongo wakavamia ukurasa wa watu reply sasa zinakimbilia reply 10,000/.
 
ndo shida ya :
simu bei rahisi
bando bei chee
jobless
ulimbukeni


tupo kama mazombi, tunadhalilika sana kama taifa

Simple mind!!, kwahiyo inawezekana na ww Kuna angle upo kama hao.... Labda ungesema ulimbukeni. But habari ya sijui bando,Mara simu chee huo ni mtazamo finyu.
 
Hahahahaha mashabiki wa simba na Yanga ndio watanzania wenyewe hao..hivyo kifupi nikua watanzania mnatia aibu
 
Nyerere alituweza kwenye lugha tungejua English ingekua zaidi ya hapa, kwenye pages za watu hadi huwa naona aibu.

N:B moja ya sababu zilizochangia Samatta kudondoka Aston villa ni matusi na comments za kijinga kwenye page yao.
ni kinyaa sana. watu weusi hasa watz ni wajinga sana.
 
Ila kwenye issue ya Sammata ilitia aibu sana. Kuna comment nilisoma mpaka nikawa nashangaa. Kwakweli mashabiki wabongo shida Sana.
madhara ya shule hafifu
.ukweli mchungu asilimia kubwa wa raia wa tz ni vilaza watu wasio na upeo wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…