Tupe uthibitisho unaonesha kuwa Mudathir alipigiwa kura na wana Simba piaMAENDELEO HAYANA CHAMA [emoji119][emoji119][emoji119]
MASHABIKI WA KLABU YA SIMBA SC WAUNGANA NA MASHABIKI WA YANGA KUPIGIA KURA @mudathir_yahya27
Goli lake dhidi ya TP Mazembe liweze kishinda goli bora kwenye hatua ya makundi #cafconfiderationcup
Unaweza kuendelea kumpiga Kura kupitia ukurasa wa Twitter wa CAF - (CAFCLCC)
@cafclcc
Ukombozi huo na uanzie huko umbumbuni...[emoji24]Pateni ukombozi wa akili,
Ndio upendo wenyewe huo ktk michezo...[emoji24][emoji24] Ndg Rage yuko sahihi...Michezo sio uadui kenge wa kijani wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji445][emoji445]
Yanga ndio mna hizo itikadi za kuchukulia kila kitu personalTupe uthibitisho unaonesha kuwa Mudathir alipigiwa kura na wana Simba pia
Wewe ni mbumbumbu pro max[emoji23][emoji23][emoji23]MAENDELEO HAYANA CHAMA [emoji119][emoji119][emoji119]
MASHABIKI WA KLABU YA SIMBA SC WAUNGANA NA MASHABIKI WA YANGA KUPIGIA KURA @mudathir_yahya27
Goli lake dhidi ya TP Mazembe liweze kishinda goli bora kwenye hatua ya makundi #cafconfiderationcup
Unaweza kuendelea kumpiga Kura kupitia ukurasa wa Twitter wa CAF - (CAFCLCC)
@cafclcc
Kura moja hiyo haya kura zingine ziko wapi? Hiyo mentality ipo kwa baadhi ya watu ambao kwao huangalia maslahi ya taifa kwanza kabla ya ushabiki wa timu. Lakini ni asilimia chache katika Watanzania
Mimi ni mmoja wa Wana simba waliompigia kura Muda..Tupe uthibitisho unaonesha kuwa Mudathir alipigiwa kura na wana Simba pia
Mm pia nimepiga kura kwa MudathirKura moja hiyo haya kura zingine ziko wapi? Hiyo mentality ipo kwa baadhi ya watu ambao kwao huangalia maslahi ya taifa kwanza kabla ya ushabiki wa timu. Lakini ni asilimia chache katika Watanzania