Mashabiki wa simba ni wakomavu ,wameonesha mfano huko twitter kwa kumpigia kura Mudathir Yahya kumwezesha kushinda mchuano wa goli bora

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
MAENDELEO HAYANA CHAMA [emoji119][emoji119][emoji119]

MASHABIKI WA KLABU YA SIMBA SC WAUNGANA NA MASHABIKI WA YANGA KUPIGIA KURA @mudathir_yahya27

Goli lake dhidi ya TP Mazembe liweze kishinda goli bora kwenye hatua ya makundi #cafconfiderationcup

Unaweza kuendelea kumpiga Kura kupitia ukurasa wa Twitter wa CAF - (CAFCLCC)

@cafclcc
 
Umechanganyikiwa ama unachanganya mambo....haiko hivyo kabisa

Rudi twitani uje utuonyeshe huo muungano...[emoji24][emoji24]
 
MAENDELEO HAYANA CHAMA [emoji119][emoji119][emoji119]

MASHABIKI WA KLABU YA SIMBA SC WAUNGANA NA MASHABIKI WA YANGA KUPIGIA KURA @mudathir_yahya27

Goli lake dhidi ya TP Mazembe liweze kishinda goli bora kwenye hatua ya makundi #cafconfiderationcup

Unaweza kuendelea kumpiga Kura kupitia ukurasa wa Twitter wa CAF - (CAFCLCC)

@cafclcc
Tupe uthibitisho unaonesha kuwa Mudathir alipigiwa kura na wana Simba pia
 
Mkiambiwa uto hamna akili mnanuna🤣🤣🤣🤣
 
Mimi mwenyewe nimempigia kura Mudathir kule twitter kwenye page ya CAF, unajua kwenye haya maisha ukishakuwa tajiri, usiwanyime wenye mahitaji vitu vidogo vidogo.
 
Tupe uthibitisho unaonesha kuwa Mudathir alipigiwa kura na wana Simba pia
Hawa hapa
Screenshot_20230405-152457.jpg
 
Tupe uthibitisho unaonesha kuwa Mudathir alipigiwa kura na wana Simba pia
Yanga ndio mna hizo itikadi za kuchukulia kila kitu personal

Mimi sijaingia twitter kwa muda, ila ningeikuta hiyo selection ninge vote kwa Mudhathir
 
MAENDELEO HAYANA CHAMA [emoji119][emoji119][emoji119]

MASHABIKI WA KLABU YA SIMBA SC WAUNGANA NA MASHABIKI WA YANGA KUPIGIA KURA @mudathir_yahya27

Goli lake dhidi ya TP Mazembe liweze kishinda goli bora kwenye hatua ya makundi #cafconfiderationcup

Unaweza kuendelea kumpiga Kura kupitia ukurasa wa Twitter wa CAF - (CAFCLCC)

@cafclcc
Wewe ni mbumbumbu pro max[emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20230405-154459.jpg
Screenshot_20230405-154439.jpg
Screenshot_20230405-154407.jpg
Screenshot_20230405-153428.jpg
Screenshot_20230405-153750.jpg
 
Kura moja hiyo haya kura zingine ziko wapi? Hiyo mentality ipo kwa baadhi ya watu ambao kwao huangalia maslahi ya taifa kwanza kabla ya ushabiki wa timu. Lakini ni asilimia chache katika Watanzania
Mm pia nimepiga kura kwa Mudathir
 
Mimi mwenyewe nimempigia kura Mudathir kule twitter kwenye page ya CAF, unajua kwenye haya maisha ukishakuwa tajiri, usiwanyime wenye mahitaji vitu vidogo vidogo.
Kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom