Mashabiki wa Simba SC jitokezeni tumsaidie Haji S Manara.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Wapenzi na Mashabiki wa Simba SC tuwe tunajitokeza kwa wingi kwenye mitandao ya Kijamii hasa kwenye kurasa za msemaji wetu wa klabu Hadija Manara.

Mara baada ya kuisha kwa mtanange wa leo, na kupata na bumbuwazi lililo tokana na kikosi chetu cha Bilioni 1.3 kimetoka sare na kikosi cha wanajangwani walio kosa huduma za wachezaji wao 3 tegemezi Ngoma, Tambwe na Kamusoko, Msemaji huyo alijikuta akiweweseka na kupost mada kwenye ukurasa wake wa Instagram bila kuifanyia uchambuzi wa kina.

1. Kuhusu takwimu ya mechi kwenye kipindi cha kwanza.
post1.PNG

Tumkumbushe Manara kuwa hata kama timu yetu iliongoza possesionkipindi cha kwanza, Possesion hiyo haina maana na mantiki yeyote ile kama Kikosi chetu chenye thamani ya Bilion 1.3 kimeshindwa kupata hata shuti moja on target.

Hili ni dhahiri kabisa kuwa mpira wa possesion tulikuwa tukiucheza mno kwenye upande wetu wa uwanja.

2. Kuhusu watani zetu kushangilia matokeo ya sare pale uwanja wa uhuru.

Pia tumkumbushe kuwa asitufanye sisi kuwa ndio misukule hata tushindwe kujua na kuitambua picha halisi ya tikio.
Kwenye hii picha amedai kuwa hawa ni wanayanga wakiwashangilia wachezaji wao baada ya kupata matokeo ya 1 - 1 wakiwa kwenye basi lenye muonekana na picha zamdhamini wa zamani Kilimanjaro.
post2.PNG

Asijifanye kuwa kana kwamba hatuujui muonekano wa basi jipya la msimu wa mwaka 2017/18 lenye nembo ya mdhamini mpya...

cabga.jpg

Tumsaidie kijana mwenzetu aisee! Asije kupata ugonjwa ya kuchanganyikiwa.
 
hiki kikosi cha billioni ni zero kabisa kikosi cha mwaka jana ndo kilikua poa,niyonzima wa kazi gani hawez kuscore?hajib anachezesha na kuscore pia sa cjui kwann haikufanywa juhudi abaki.............timu imeenda kununua wachezaji kibaaoo na kuja kuwarundika sijui wakazi gan! ubingwa tutaendelea kuota kwa style hii
 
Mi nilichoka na hizo kros zilivyokuwa zikipigwa na wachezaji Professional
 
Simba kunashida, ni aibu sana kuendelea kutoa sare na yanga. Mpira gani wa chenga bila magoli.
 
Pambana na hali yako.Simba mbwembwe znawaponza,Acha sisi tuogelee jangwan
 
Simba kila mwaka anaanza kuwa Simba lkn mwishoni anakuwa paka.Hivyo Wanayanga wasihofu Simba tayari anaelekea kibra kama kawa!
 
hiki kikosi cha billioni ni zero kabisa kikosi cha mwaka jana ndo kilikua poa,niyonzima wa kazi gani hawez kuscore?hajib anachezesha na kuscore pia sa cjui kwann haikufanywa juhudi abaki.............timu imeenda kununua wachezaji kibaaoo na kuja kuwarundika sijui wakazi gan! ubingwa tutaendelea kuota kwa style hii
Nadhani ni ushamba kuzungmzia mchezaji mmoja mmoja. Kila post unakuta Ajibu angebaki, Ajibu angebaki. Hiyo Mbao FC haina hata Ajibu lakini ndio iliyofika fainali ya FA Cup msimu uliopita kwa kuzitoa Azam na Yanga, na ndiyo iliyotoa sare na Azam na Simba msimu huu. Au Lipuli na Majimaji zilizotoa sare na Yanga msimu huu, nazo zina Ajibu walau mmoja mmoja? Tuache ushamba wajameni, soka ni jinsi timu itakavyocheza kwa kuelewana
 
Haji Manara kelele tuu wala hana lolote , timu ina wachezaji weengi nyota na hata hivyo wengi wao ni Wahenga mfano John Boko, Okwi, Nyoni , Niyonzima , Mwanjali nataja wachache tu.
Tusubiri kufikia Januari watawafukuza woote maana hakuna wanachofanya.
Unatumia gharama kuubwa kusajiri , hivi kweli Simba walihitaji wachezaji wengi hivyo? Sasa hivi tayari mgogoro wa chini chini kati ya wachezaji ambao hawapangwi mara kwa mara ama kutokea benchi kila wakati.
Haya yetu macho.
 
Yule mwarabu Mo atamshikisha ukuta mtu huu msimu haiwezekeni libiloni lizima likatoe sare ya kizembe vile na wale vyura wanaonuka njaa mpk unyayoni
 
Wapenzi na Mashabiki wa Simba SC tuwe tunajitokeza kwa wingi kwenye mitandao ya Kijamii hasa kwenye kurasa za msemaji wetu wa klabu Hadija Manara.

Mara baada ya kuisha kwa mtanange wa leo, na kupata na bumbuwazi lililo tokana na kikosi chetu cha Bilioni 1.3 kimetoka sare na kikosi cha wanajangwani walio kosa huduma za wachezaji wao 3 tegemezi Ngoma, Tambwe na Kamusoko, Msemaji huyo alijikuta akiweweseka na kupost mada kwenye ukurasa wake wa Instagram bila kuifanyia uchambuzi wa kina.

1. Kuhusu takwimu ya mechi kwenye kipindi cha kwanza.
View attachment 619624

Tumkumbushe Manara kuwa hata kama timu yetu iliongoza possesionkipindi cha kwanza, Possesion hiyo haina maana na mantiki yeyote ile kama Kikosi chetu chenye thamani ya Bilion 1.3 kimeshindwa kupata hata shuti moja on target.

Hili ni dhahiri kabisa kuwa mpira wa possesion tulikuwa tukiucheza mno kwenye upande wetu wa uwanja.

2. Kuhusu watani zetu kushangilia matokeo ya sare pale uwanja wa uhuru.

Pia tumkumbushe kuwa asitufanye sisi kuwa ndio misukule hata tushindwe kujua na kuitambua picha halisi ya tikio.
Kwenye hii picha amedai kuwa hawa ni wanayanga wakiwashangilia wachezaji wao baada ya kupata matokeo ya 1 - 1 wakiwa kwenye basi lenye muonekana na picha zamdhamini wa zamani Kilimanjaro.
View attachment 619626

Asijifanye kuwa kana kwamba hatuujui muonekano wa basi jipya la msimu wa mwaka 2017/18 lenye nembo ya mdhamini mpya...

View attachment 619628

Tumsaidie kijana mwenzetu aisee! Asije kupata ugonjwa ya kuchanganyikiwa.
Maelezo yako yananipa ukakasi kuamini wewe ni shabiki wa simba
 
Vyura fc wamezoea kufungwa kila siku na mmewao simba,sasa wanashangilia sare.aya ongereni kwa ushindi wa jana
 
Yanga Aka 'Wanga' kandambili original wanafuraha iliyopitiliza kuchoropoka mdomoni mwa mnyama.
Sio kwa furaha hii jamani! Sare mnaifurahia namna hii!!?
 
Jaman sare mshangilie simba tu akishangilia yanga haramu?rejea mechi Ile ya kona ya kichuya na mechi ya juz na mtibwa baada ya faulo ya okwi kuwapa sale.
 
Sare na mtibwa ilikuwa very tactical, mwanasoka yeyote angefurahia (isipokuwa wanga wa jangwani) mpira wa mwisho umezaa goli na kuleta sare! Okwi alipiga mpira akijua kuwa amebeba thamani ya mechi husika.
 
Back
Top Bottom