demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
- Thread starter
- #41
Kwani mbona misimu 2 iliyopita timu yenu ilikuwa ikisajili kwa gharama kubwa kuliko Simba SC lakini mlishindwa kupata ushindi zaidi tu Kichuyaaaaa akipeleka maangamizi, je mlikumbwa na nini kifafa au?
Hongera kwa ushindi wa jana . sare kwenu ushindi
Sijui gharama gani unazo zizungumzia hapo! Hapa Tunazungumzia gharama za msimu mmoja...Kiasi cha bilion1.3 kulingana alama sawa na Mabingwa watetezi ni uduwanzi.