Mashabiki wa Simba SC jitokezeni tumsaidie Haji S Manara.

Mashabiki wa Simba SC jitokezeni tumsaidie Haji S Manara.

Kwani mbona misimu 2 iliyopita timu yenu ilikuwa ikisajili kwa gharama kubwa kuliko Simba SC lakini mlishindwa kupata ushindi zaidi tu Kichuyaaaaa akipeleka maangamizi, je mlikumbwa na nini kifafa au?

Hongera kwa ushindi wa jana . sare kwenu ushindi

Sijui gharama gani unazo zizungumzia hapo! Hapa Tunazungumzia gharama za msimu mmoja...Kiasi cha bilion1.3 kulingana alama sawa na Mabingwa watetezi ni uduwanzi.
 
KKichuyaaaaa akipeleka maangamizi, je mlikumbwa na nini kifafa au?

Hongera kwa ushindi wa jana . sare kwenu ushindi

Anachokifanya Kichuya hivi sasa ni sawa na kile ambacho amekuwa akikifanya Tambwe tangu atinge jangwani...Kichuya kaanza jana, Tambwe ni wa kitambo sana kwenye kufunga dhidi ya Simba.
 
Yanga mbn mnakua wapuuzi mbona nyie mnakuaga na kikosi cha hela kibao na uwa mnafungwa na simba simba ikiwa na kikosi cha watoto chirwa alisajiliwa kwa sh ngap au mmesahau au mnakariri kwamba usajili ni msimu mmoja
Huwa tunafungwa na Simba na tunachukua ubingwa
 
Hata zikijumlishwa gharama za Yanga za usajilikwa misimu 2 yaani 2016/17 na 2017/18 bado hazifiki kiasi cha Bilioni 1.3
Iyo bil unaweza tupa mchanganuo wake ?,au unafata maneno ya magazeti mbona madrid anapigwa na timu ambayo haifiki hata robo ya kikosi chake
 
Anachokifanya Kichuya hivi sasa ni sawa na kile ambacho amekuwa akikifanya Tambwe tangu atinge jangwani...Kichuya kaanza jana, Tambwe ni wa kitambo sana kwenye kufunga dhidi ya Simba.
Tambwe amefunga goli ngapi kwenye mechi za watani
 
Mara ya mwisho kuifunga simba ni lini hachana na kikosi cha bil 1apo nyuma ikiwa na kikosi cha kuungaunga

Kama unashindwa kuweka kumbukumbu ya Bao la Mkono wa Mungu sidhani kama unaweza hata kuamini kuwa llilitokea....
 
Iyo bil unaweza tupa mchanganuo wake ?,au unafata maneno ya magazeti mbona madrid anapigwa na timu ambayo haifiki hata robo ya kikosi chake

Inaonekana wewe unafuata upepo kushabikia SERENA FC. Hebu mnatufe mwanachama hai wa klabu yenu mwenye kushiriki ule mkutano mkuu wenu ulio pita.......
 
Back
Top Bottom