Mashabiki wa Simba SC kumuimba sana na kumtukuza Adebayor wa Niger ni dhahiri hawamtaki Jean Baleke na Moses Phiri?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425

Nimeshangazwa sana na mashabiki wa Simba SC walivyokua wanamtukuza Adebayor baada ya gemu ya Taifa stars kuisha.

Mashabiki wa Simba ni fuata upepo kama bendera, wamesahau kuimba nyimbo za Moses Phiri na Jean Baleke saivi Adebayor.

Kweli Rage ajengewe sanamu pale Msimbazi.
 
Hao ndiyo wale mashabiki walioitwa mbumbumbu na mwenyekiti wao mstaafu. Yaani wao ni kama bendera fuata upepo.
 
Wapi umewaona hao mashabiki wakimtukuza huyo Adebayo? Umelala na njaa umeota ndoto hiyo ndiyo unatuwekea hapa
 
We kweli unabweka kama mbwa ( LUC EYMAEL, 2020).

Adebayor ni winger phiri ni second striker na jean baleke ni center forward. Je kuna tatizo lolote kwa washabiki kumhitaji Adebayor?
 
kwanza ni ujinga tu kumwonyesha kuwa wanamuabudu sana. Waliniudhi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…