NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Nimeshangazwa sana na mashabiki wa Simba SC walivyokua wanamtukuza Adebayor baada ya gemu ya Taifa stars kuisha.
Mashabiki wa Simba ni fuata upepo kama bendera, wamesahau kuimba nyimbo za Moses Phiri na Jean Baleke saivi Adebayor.
Kweli Rage ajengewe sanamu pale Msimbazi.