Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 24,262 Reaction score 58,728 May 9, 2024 #1 Usione aibu na tuambie ukweli mara ya mwisho timu yako kubeba ubingwa wa Ligi ilikuwa ni mwaka gani? Mimi mwaka 2023.
Usione aibu na tuambie ukweli mara ya mwisho timu yako kubeba ubingwa wa Ligi ilikuwa ni mwaka gani? Mimi mwaka 2023.
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 4,260 Reaction score 7,033 May 9, 2024 #2 Vincenzo Jr said: Usione aibu na tuambie ukweli mara ya mwisho timu yako kubeba ubingwa wa Ligi ilikuwa ni mwaka gani? Mimi mwaka 2023. View attachment 2985455 Click to expand... Aloo
Vincenzo Jr said: Usione aibu na tuambie ukweli mara ya mwisho timu yako kubeba ubingwa wa Ligi ilikuwa ni mwaka gani? Mimi mwaka 2023. View attachment 2985455 Click to expand... Aloo
Expensive life JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 2,971 Reaction score 9,437 May 9, 2024 #3 Kujiwekea malengo ni jambo lingine na malengo kutimia ni jambo lingine pia. Ni kwaida tu jambo kufeli au kutiki.
Kujiwekea malengo ni jambo lingine na malengo kutimia ni jambo lingine pia. Ni kwaida tu jambo kufeli au kutiki.
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,637 Reaction score 47,413 May 9, 2024 #4 Vincenzo Jr said: Usione aibu na tuambie ukweli mara ya mwisho timu yako kubeba ubingwa wa Ligi ilikuwa ni mwaka gani? Mimi mwaka 2023. View attachment 2985455 Click to expand... Ligi ya muungano
Vincenzo Jr said: Usione aibu na tuambie ukweli mara ya mwisho timu yako kubeba ubingwa wa Ligi ilikuwa ni mwaka gani? Mimi mwaka 2023. View attachment 2985455 Click to expand... Ligi ya muungano
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 May 9, 2024 #5 Vincenzo Jr said: Usione aibu na tuambie ukweli mara ya mwisho timu yako kubeba ubingwa wa Ligi ilikuwa ni mwaka gani? Mimi mwaka 2023. View attachment 2985455 Click to expand... Ilikua letu hili sema majini plus kubebwabebwa ndo kumewafikisha hapo
Vincenzo Jr said: Usione aibu na tuambie ukweli mara ya mwisho timu yako kubeba ubingwa wa Ligi ilikuwa ni mwaka gani? Mimi mwaka 2023. View attachment 2985455 Click to expand... Ilikua letu hili sema majini plus kubebwabebwa ndo kumewafikisha hapo
Aigle JF-Expert Member Joined Jul 4, 2020 Posts 1,540 Reaction score 7,973 May 9, 2024 #6 Simba iko nafas ya 3, ila wasengeh kama nyie mnaumia simba kua nafas ya 3...sjui hii tunaiitaje ..
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 24,262 Reaction score 58,728 May 10, 2024 Thread starter #7 Aigle said: Simba iko nafas ya 3, ila wasengeh kama nyie mnaumia simba kua nafas ya 3...sjui hii tunaiitaje .. Click to expand... Wewe ndio timu yako mbovu sana 😁🤣😁
Aigle said: Simba iko nafas ya 3, ila wasengeh kama nyie mnaumia simba kua nafas ya 3...sjui hii tunaiitaje .. Click to expand... Wewe ndio timu yako mbovu sana 😁🤣😁