Mashabiki wa Simba SC wanaongoza kwa kujitoa ufahamu na hawajitambui

Mashabiki wa Simba SC wanaongoza kwa kujitoa ufahamu na hawajitambui

Ifike hatua yanga muachane na simba komaeni na wakina al hilal ndio level zenu si ndio?
Mkuu hizo akili wanazo sasa? Wao kwa mechi ya jana tayari wanaona wameingia makundi,

Hawa hamnazo fc wanatabu sana, yaani ngoja tuenxelee kuwabeba na kuwafundisha mpira wa kuvuka mipaka sio u-bahasha fc in National League
 
Mkuu hizo akili wanazo sasa? Wao kwa mechi ya jana tayari wanaona wameingia makundi,

Hawa hamnazo fc wanatabu sana, yaani ngoja tuenxelee kuwabeba na kuwafundisha mpira wa kuvuka mipaka sio u-bahasha fc in National League
Izo bahasha wanapewa kuanzia viongozi wenu mpaka wachezaji kila mechi ndo maana mmekuwa si lolote si chochote mnapokutana na wanaume
 
Jamaa uwa wakipata sare hatupumui, Yaani Wana amini kabisa Kwa kikosi walichonacho wanaweza kuifunga Yanga!!

Safarihii Tff walianza na Morrison, Simba nao wakajiongeza Wakaja na Refa Kayoko lakini wamepata Sare.

Tunatarajia kitendo Cha Chama ku mkanyaga Kwa maksudi Aucho kamati ya massa sabini na mbili watachukua hatua stahiki kama ilivyokua kwa Morrison.

Hongera Refa, umekunja mtonyo wako ila bahatimbaya timu iliyokua uki ibebeba uwezo wao ndio umeishia hapo.
Wanayanga hawajawahi kumiliki akili,tunawapuuza tu.
 
Leo hii analaumiwa Okrah, mechi iliyopita alilaumiwa Zoran, ya ngao akalaumiwa Inonga, sasa nyie kila mechi mtakuwa mnatafuta kichaka cha kufichia madhaifu yenu?

Mlikuwa mnasema Juma Mgunda atainyoosha yanga kwakuwa alipata sare moja ya Nusu fainali kule Arusha nikawauliza kabla ya mechi wanipe rekodi za mgunda mara ya mwisho kuifunga Yanga ilikuwa ni lini wakaja na stori za hii ni Simba sio Coast Union nikasema ok.

Hiyo simba mara ya mwisho kamfunga yanga lini wakaangaliana kama walioshikwa ugoni, nikawaambia rekodi zote zinawakataa jeuri ya kumfunga yanga kwa sasa haipo kwenu hata mkatafute kocha chini ya bahari amuwezi kumfunga yanga.

Huyo mgunda kwenye mechi 6 alizokutana na yanga kaambulia sare mbili nyingine kabutuliwa ndo mlitegemea leo awape ushindi mbele ya yanga?

Kama sio kurusha lawama kwa Okrah mngefanya nini? Viongozi wenu awajampa mkataba walikuwa wanategeshea hii mechi waone kama atapata matokeo ndo wampe ukocha mkuu lakini naona ngoma imekuwa nzito ameshindwa kuutafuna mfupa uliowashinda makocha wengi inabidi sasa atafutwe kocha mkuu na yeye awe msaidizi matunguli ya kitanga yamekwamia bagamoyo.

Sasa kichaka kimoja kilichobaki kufyekwa watu waishiwe hoja ni mechi za kimataifa na chenyewe kitafyekwa soon na hapo mashabiki uchwala wataibua jipya la hatumtaki Mo badala ya Mgunda na Matola
Kusema kweli umeandika pumba sana. Futa tu
 
Leo hii analaumiwa Okrah, mechi iliyopita alilaumiwa Zoran, ya ngao akalaumiwa Inonga, sasa nyie kila mechi mtakuwa mnatafuta kichaka cha kufichia madhaifu yenu?

Mlikuwa mnasema Juma Mgunda atainyoosha Yanga kwakuwa alipata sare moja ya nusu fainali kule Arusha, nikawauliza kabla ya mechi wanipe rekodi za Mgunda mara ya mwisho kuifunga Yanga ilikuwa ni lini wakaja na stori za hii ni Simba siyo Coast Union, nikasema sawa.

Hiyo Simba mara ya mwisho kamfunga Yanga lini wakaangaliana kama walioshikwa ugoni, nikawaambia rekodi zote zinawakataa. Jeuri ya kumfunga Yanga kwa sasa haipo kwenu hata mkatafute kocha chini ya bahari hamuwezi kumfunga Yanga.

Huyo Mgunda kwenye mechi 6 alizokutana na Yanga kaambulia sare mbili, nyingine kabutuliwa ndiyo mlitegemea leo awape ushindi mbele ya Yanga?

Kama siyo kurusha lawama kwa Okrah mngefanya nini? Viongozi wenu hawajampa mkataba, walikuwa wanategeshea hii mechi waone kama atapata matokeo ndiyo wampe Ukocha Mkuu. Lakini naona ngoma imekuwa nzito, ameshindwa kuutafuna mfupa uliowashinda makocha wengi. Inabidi sasa atafutwe Kocha Mkuu na yeye awe msaidizi, matunguli ya Kitanga yamekwamia bagamoyo.

Sasa kichaka kimoja kilichobaki kufyekwa watu waishiwe hoja ni mechi za kimataifa, na chenyewe kitafyekwa karibuni na hapo mashabiki uchwara wataibua jipya la hatumtaki Mo badala ya Mgunda na Matola.
Na yamekuwa kweli, mtanga msaidizi.
 
Back
Top Bottom