Mshughulishaji
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,351
- 1,875
Mkuu hizo akili wanazo sasa? Wao kwa mechi ya jana tayari wanaona wameingia makundi,Ifike hatua yanga muachane na simba komaeni na wakina al hilal ndio level zenu si ndio?
Izo bahasha wanapewa kuanzia viongozi wenu mpaka wachezaji kila mechi ndo maana mmekuwa si lolote si chochote mnapokutana na wanaumeMkuu hizo akili wanazo sasa? Wao kwa mechi ya jana tayari wanaona wameingia makundi,
Hawa hamnazo fc wanatabu sana, yaani ngoja tuenxelee kuwabeba na kuwafundisha mpira wa kuvuka mipaka sio u-bahasha fc in National League
Luc Eymael naye aliwagundua kuwa nyie ni kima,mbwa na uneducated, na kweli ndivyo mlivyo.Wasamehe tu. Hata Rage alishawagundua kitambo.
Wanayanga hawajawahi kumiliki akili,tunawapuuza tu.Jamaa uwa wakipata sare hatupumui, Yaani Wana amini kabisa Kwa kikosi walichonacho wanaweza kuifunga Yanga!!
Safarihii Tff walianza na Morrison, Simba nao wakajiongeza Wakaja na Refa Kayoko lakini wamepata Sare.
Tunatarajia kitendo Cha Chama ku mkanyaga Kwa maksudi Aucho kamati ya massa sabini na mbili watachukua hatua stahiki kama ilivyokua kwa Morrison.
Hongera Refa, umekunja mtonyo wako ila bahatimbaya timu iliyokua uki ibebeba uwezo wao ndio umeishia hapo.
Kaeleweka katikati ya wajinga wenzie.Kikubwa mleta mada kaeleweka... hizo space za paragraph mkajiwekee mbele kwa mbele.
Sasa na nyie mlipambiwa mna vinyesi matakoni, tutasema akiki zenu zipo wapi?Makolo wengi akili zipo matakoni.
Kusema kweli umeandika pumba sana. Futa tuLeo hii analaumiwa Okrah, mechi iliyopita alilaumiwa Zoran, ya ngao akalaumiwa Inonga, sasa nyie kila mechi mtakuwa mnatafuta kichaka cha kufichia madhaifu yenu?
Mlikuwa mnasema Juma Mgunda atainyoosha yanga kwakuwa alipata sare moja ya Nusu fainali kule Arusha nikawauliza kabla ya mechi wanipe rekodi za mgunda mara ya mwisho kuifunga Yanga ilikuwa ni lini wakaja na stori za hii ni Simba sio Coast Union nikasema ok.
Hiyo simba mara ya mwisho kamfunga yanga lini wakaangaliana kama walioshikwa ugoni, nikawaambia rekodi zote zinawakataa jeuri ya kumfunga yanga kwa sasa haipo kwenu hata mkatafute kocha chini ya bahari amuwezi kumfunga yanga.
Huyo mgunda kwenye mechi 6 alizokutana na yanga kaambulia sare mbili nyingine kabutuliwa ndo mlitegemea leo awape ushindi mbele ya yanga?
Kama sio kurusha lawama kwa Okrah mngefanya nini? Viongozi wenu awajampa mkataba walikuwa wanategeshea hii mechi waone kama atapata matokeo ndo wampe ukocha mkuu lakini naona ngoma imekuwa nzito ameshindwa kuutafuna mfupa uliowashinda makocha wengi inabidi sasa atafutwe kocha mkuu na yeye awe msaidizi matunguli ya kitanga yamekwamia bagamoyo.
Sasa kichaka kimoja kilichobaki kufyekwa watu waishiwe hoja ni mechi za kimataifa na chenyewe kitafyekwa soon na hapo mashabiki uchwala wataibua jipya la hatumtaki Mo badala ya Mgunda na Matola
Bila kumsahau Luc Eymael kwa ukweli aliousema juu ya washabiki wa Yanga.Kima,mbwa na uneducatedIsmail Aden Rage tayari alishatusaidia kujua tatizo lilipo
Sawa mkuu. Unafanya nini ujingani sasa?
Wala sina hasira,ila tatizo lako mjomba wangu wewe ukisema sawa ila wakisema wengine inakuwa nongwa.Una hasira?
Na itabakia hivyo daima na milele.Rage alisema Wao ni mambumbumbu
Na yamekuwa kweli, mtanga msaidizi.Leo hii analaumiwa Okrah, mechi iliyopita alilaumiwa Zoran, ya ngao akalaumiwa Inonga, sasa nyie kila mechi mtakuwa mnatafuta kichaka cha kufichia madhaifu yenu?
Mlikuwa mnasema Juma Mgunda atainyoosha Yanga kwakuwa alipata sare moja ya nusu fainali kule Arusha, nikawauliza kabla ya mechi wanipe rekodi za Mgunda mara ya mwisho kuifunga Yanga ilikuwa ni lini wakaja na stori za hii ni Simba siyo Coast Union, nikasema sawa.
Hiyo Simba mara ya mwisho kamfunga Yanga lini wakaangaliana kama walioshikwa ugoni, nikawaambia rekodi zote zinawakataa. Jeuri ya kumfunga Yanga kwa sasa haipo kwenu hata mkatafute kocha chini ya bahari hamuwezi kumfunga Yanga.
Huyo Mgunda kwenye mechi 6 alizokutana na Yanga kaambulia sare mbili, nyingine kabutuliwa ndiyo mlitegemea leo awape ushindi mbele ya Yanga?
Kama siyo kurusha lawama kwa Okrah mngefanya nini? Viongozi wenu hawajampa mkataba, walikuwa wanategeshea hii mechi waone kama atapata matokeo ndiyo wampe Ukocha Mkuu. Lakini naona ngoma imekuwa nzito, ameshindwa kuutafuna mfupa uliowashinda makocha wengi. Inabidi sasa atafutwe Kocha Mkuu na yeye awe msaidizi, matunguli ya Kitanga yamekwamia bagamoyo.
Sasa kichaka kimoja kilichobaki kufyekwa watu waishiwe hoja ni mechi za kimataifa, na chenyewe kitafyekwa karibuni na hapo mashabiki uchwara wataibua jipya la hatumtaki Mo badala ya Mgunda na Matola.
Gongowazi wote matutusa tuAna hizo akili basi?
Gongowazi akili zenu ziko kwenye ile tundu yenyewe ya haja kubwaMakolo wengi akili zipo matakoni.
Na msemaji wenu Haji Manara amesema gongowazi wote hamna akili kabisaRage alisema Wao ni mambumbumbu