Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Kwa matokeo wanayozidi kuyapata wananchi huku kwetu Wana lunyasi tunapitia kipindi kigumu sana haijawahi kutokea
Mfano kile kipindi Cha economic hardship (great economic depression).... nadhani mliokuwepo mlishuhudia what happened during that time
Jana tukiwa kibanda umiza tunacheki mechi ya Yanga Kuna shabiki mwenzangu kavaa jezi ya Simba Baada ya lile goli la kwanza ... kapanic.[emoji3063][emoji3063]..kabeba Kiti na kurushia Tv ya watu....... mwingine kaenda kuing'oa kabisa....nilichoshangaa ni hiki ...anafungwa kmc ...tunaumia sisi wanasimba
Mpaka Sasa naambiwa ndugu zangu kina Kalpana ... Scars naskia hawajaamka Hadi saizi...kisa matokeo ya Yanga
Ombi langu
Simba msimu ujao tufanye usajili heavyweight Ili kuondokana na hizi stress
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app