Mashabiki wa Simba tunapitia kipindi kigumu haijawahi tokea

Tatizo makolo ... hawataki tuseme ukweli [emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kabisa yani makolo wenzangu ni wagumu sana kukubali ukweli.

Mimi nakwazika sana.

Mfano leo mtani kashinda tano bila dhidi ya Polisi TZ basi roho inauma kwelikweli.

Najifariji kwa kusema Yanga kapiga bomu monchwari na Polisi ni timu mbovu tu lakini kila nkikumbuka hata sisi tulikula kono la nyani basi faraja yote kwisha.

Natamani makolo wenzangu wakubali ukweli huu.
 
Daaah sijui tuhamie tu uananchini

Back
Top Bottom