Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo makolo ... hawataki tuseme ukweli [emoji23]
Kabisa yani makolo wenzangu ni wagumu sana kukubali ukweli.Tatizo makolo ... hawataki tuseme ukweli [emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Daaah sijui tuhamie tu uananchiniKabisa yani makolo wenzangu ni wagumu sana kukubali ukweli.
Mimi nakwazika sana.
Mfano leo mtani kashinda tano bila dhidi ya Polisi TZ basi roho inauma kwelikweli.
Najifariji kwa kusema Yanga kapiga bomu monchwari na Polisi ni timu mbovu tu lakini kila nkikumbuka hata sisi tulikula kono la nyani basi faraja yote kwisha.
Natamani makolo wenzangu wakubali ukweli huu.